Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makala Maalum ya Rais | MAY 4 .JIONI | TBC

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete kuhutubia wananchi kupitia mkutano utakaorushwa Live na TBC saa 11 jioni hii

Jakaya-Kikwete1

TUNAPENDA KUWAJULISHENI  KUWA LEO ALHAMISI TAREHE 4 SEPTEMBA, 2014 SAA KUMI JIONI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. JAKAYA MRISHO KIKWETE ATAZUNGUMZA NA WANANCHI KUPITIA MKUTANO WAKE NA WAZEE WA MKOA WA DODOMA, UTAKAOFANYIKA CHUO CHA MIPANGO – DODOMA.

MKUTANO HUO UTATANGAZWA MOJA KWA MOJA (LIVE) KUPITIA KITUO CHA TELEVISHENI CHA TAIFA TBC.

ASANTENI

IMETOLEWA NA;

KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS,

IKULU – DAR ES SALAAM.

4 SEPTEMBA,2014

 

11 years ago

BBCSwahili

Makala maalum kuhusu Ebola

Haya ni makala maalum ya BBC kuhusu janga la Ebola duniani

 

9 years ago

Michuzi

MAKALA MAALUM KUHUSU AMANI TANZANIA

 Na Eleuteri Mangi-MAELEZO
Nuru inapoiangazia dunia, huwaangazia viumbe vyote vilivyo hai na visivyo na uhai, viumbe vyenye uhai, hao hufurahia nuru hiyo kwa kuruka ruka na kucheza kufurahia nuru hiyo.
Kila ifikapo asubuhi na mapema, utasikia sauti na mili­o ya ndege wa angani, wanyama wa kufuga na waishio mwituni, milio na sauti za viumbe hao wakati mwingine kuashiria kuwa kumekucha ili waendelee kufurahia nuru inayowanaagazia kwa manufaa ya maisha yao. 
Wanadamu nao wakiwa kama viumbe hai...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA MAALUM: Azania ni shule ya Serikali iliyoibua viongozi lukuki

 Na Maneno Selanyika, Dar es Salaam
SERIKALI na wadau wa sekta ya elimu wanatakiwa kuboresha shule kongwe zilizopo hapa nchini kwa kuwa zina mchango mkubwa katika kulifikisha Taifa hapa lilipo.
Wasomi wengi waliostaafu, wanasiasa, wabunge na viongozi waliopo sasa madarakani wengi wao walisoma kwenye shule hizo ambazo kwa sasa zinakabiliwa na changamoto nyingi hasa za kitaaluma, hivyo kupoteza umaarufu wake.
Ikumbukwe tu kwamba shule ni sehemu ya kumwandaa kijana ili baadae aweze kukabiliana na...

 

11 years ago

Michuzi

MAKALA MAALUM MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MOSHI(MUWSA)

Imeandaliwa na Dixon Busagaga  wa Globu ya Jamii, Kanda ya Kaskazini

 

11 years ago

Michuzi

JK KUUNGURUMA LEO JIONI KWENYE BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA .

Kweli Urais hauna ubia wala muda ama sehemu ya kuchapa kazi. Wakati wowote na mahali popote ni sehemu ya kazi, kama inavyoonekana hapa  ambako Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametulia ndani ya ndege akisafiri kutoka Dar es salaam kuelekea Dodoma  huku  akiifanyia kazi hotuba yake ambayo ataitoa katika Kikao cha Bunge Maalum la Katiba, leo Ijumaa, Machi 21, 2014.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amealikwa kuwa mgeni rasmi na kuhutubia Bunge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani