Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KADI ZA KUMPA POLE RAIS JAKAYA KIKWETE ZIPELEKWE UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON, DC,

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umewaomba Watanzania na wale wote watakaopenda kuandika kadi za kumpa pole na kumtakia Mhe. Rais Profesa Jakaya Kikwete apone haraka, Ubalozi uneomba kadi zote zipelekwe Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulipo 2232 22nd St NW, Washington, DC 20037 na wao watamfikishia kadi yako Mhe. Rais kwa haraka iwezekanavyo na pia unaweza kumtumia ujumbe wa SMS Mhe, Rais Profesa jakaya Kikwete katika simu yake namba 646 309 2295 wa kumpa pole na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mtumie ujumbe wa kumjulia hali na kumpa pole Rais Kikwete kwa kupitia namba yake hii

Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete ametoa namba yake maalumu kwa ajili ya Wananchi kumjulia hali na kumpa pole,ambapo atapokea ujumbe wako na kuujibu.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS JAKAYA KIKWETE AHUTUBIA WILSON CENTER WASHINGTON, DC

   
Video ya hotuba ya Rais Jakaya Kikwete alipohutubia Wilson CenterAndrew Selee Makamu wa Rais Wilson Center akimwelezea Rais Jakaya Kikwete kabla hajamkaribisha kuhutubia wadau kutoka nchi mbalimbali waliojitokeza kwa wingi siku ya Ijumaa April 3, 2015 Wilson Center iliyopo Washington, DC.Rais Jakaya Kikwete akihutubia Wilson Center mchana wa siku ya Ijumaa April 3, 2015 jijini Washington, DC.Wadau kutoka nchini mbalimbali wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete alipokua ahihutubia Wilson...

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA WASHINGTON SEATTLE KUMPOKEA RAIS JAKAYA KIKWETE KESHO JUMATANO

Ndugu waTanzania wenzangu. Natumai munaendelea na afya njema.
Mheshimiwa Rais na ujumbe wake watawasili Seattle: Jumatano Tarehe 1/4/2015, Usiku.Tunaombwa tufike tumpokee Mhe. Rais Jakaya Kikwete na kusalimiana nae 
Jumuiya ya Tanzaseattle inawaomba kufika kwa wakati kama ilivyoainishwa:
Pahala:
FOUR SEASONS HOTEL SEATTLE99 Union StreetSeattle, Wa 98101
Siku na Saa:
Jumatano 1/4/2015,Saa Tatu Usiku- Wednesday April 1st, 2015 at 9pm.


Kwa niaba ya Uongozi wa Tanzaseattle.Ahsanteni kwa kufika kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA WASHINGTON SEATTLE KUMPOKEA RAIS JAKAYA KIKWETE LEO JUMATANO

Ndugu waTanzania wenzangu. Natumai munaendelea na afya njema.
Mheshimiwa Rais na ujumbe wake watawasili Seattle: Jumatano Tarehe 1/4/2015, Usiku.Tunaombwa tufike tumpokee Mhe. Rais Jakaya Kikwete na kusalimiana nae 
Jumuiya ya Tanzaseattle inawaomba kufika kwa wakati kama ilivyoainishwa:
Pahala:
FOUR SEASONS HOTEL SEATTLE99 Union StreetSeattle, Wa 98101
Siku na Saa:
Jumatano 1/4/2015,Saa Tatu Usiku- Wednesday April 1st, 2015 at 9pm.


Kwa niaba ya Uongozi wa Tanzaseattle.Ahsanteni kwa kufika kwa...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AHUDHURIA HAFLA YA KUMPONGEZA KWA UONGOZI MZURI YA USIKU WA JAKAYA JIJINI WASHINGTON DC

Rais Jakaya Kikwete akiwa na mtoto wa miaka minane aliejitambulisha kwa jina la Brian ambaye alitoa burudani ya kupiga kinanda wakati wa wimbo wa Taifa na nyimbo nyinginezo katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini WashingtonRais Jakaya Kikwete akiongea na Dkt Seche Malecela baada ya kupokea risala ya pongezi kwa uongozi wake nchini Tanzania  katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE PETER ILOMO KATIBU MKUU OFISI YA RAIS ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.

 Katibu mkuu ofisi ya Rais Mhe Peter Ilomo akiweka sahihi kwenye kitabu maalum cha wageni.
 Mhe Balozi Liberata Mulamula akibadilishana mawazo na Ndg, Israel Kamuzora ujumbe aluofuata na Mhe Katibu Mkuu ofisi ya Rais.
 Ndg, Israel Kamuzora ujumbe aluofuata na Mhe Katibu Mkuu ofisi ya Rais pamoja na Katibu Mkuu ofisi ya Rais Mhe Peter Ilomo mara baada ya kuwasili ubalozini.
 Mhe Balozi Liberata Mulamula kwenye picha ya pamoja na wageni wake kushoto ni Katibu Mkuu ofisi ya Raisi Mhe Peter Ilomo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal amwakilisha Rais Jakaya Kikwete, azindua HALOTEL TANZANIA

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati) akizungumza jambo na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick, wakati walipokuwa kwenye Hafla ya uzinduzi wa Mtandao mpya wa simu za Halotel Tanzania, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt 15, 2015. Picha na OMR

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI MAJENGO YA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UFARANSA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Pamoja naye ni Mama Salma Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Hamad Msauni na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe Mhe Begum Taj.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni baada ya kufungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI MAJENGO YA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UFARANSA JIJINI PARIS

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Pamoja naye ni Mama Sallma Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Hamad Msauni na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe Mhe Begum Taj.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wafanyakazi wa ubalozi baada ya kufungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani