RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI MAJENGO YA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UFARANSA JIJINI PARIS

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Pamoja naye ni Mama Sallma Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Hamad Msauni na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe Mhe Begum Taj.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wafanyakazi wa ubalozi baada ya kufungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI MAJENGO YA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UFARANSA


10 years ago
GPL
SHEREHE ZA UFUNGUAJI WA MAJENGO YA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UFARANSA
9 years ago
Dewji Blog17 Dec
Mtandao wa Modewjiblog watembelea Ubalozi wa Tanzania uliopo jiji la Paris nchini Ufaransa!!
Mwanahabari mwandamizi wa mtandao huu wa www.modewjiblog.com, Andrew Chale akiwa katikak picha ya pamoja na Afisa Balozi wa Tanzania nchini, Ufaransa, Bi. Grace Akyoo. Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa zinapatikana katika jiji la Paris eneo la Victor Hugo.
[Paris] ni moja ya majiji yenye raha na starehe za kila aina hapa duniani jiji hili lipo nchini Ufaransa ambapo karibu asilimia kubwa limekuwa likipokea wageni mbalimbali kutoka nchi zote Duniani hasa kutembelea kwa misimu yote...
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UFARANSA FRANCOIS HOLLANDE JIJINI PARIS




10 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA UFARANSA FRANCOIS HOLLANDE JIJINI PARIS
11 years ago
Dewji Blog01 Oct
Rais Kikwete afungua rasmi Barabara ya Mwenge-Tegeta jijini Dar leo


10 years ago
Dewji Blog27 May
Rais Jakaya Kikwete afungua rasmi mkutano wa nne wa mabalozi Jijini Dar


10 years ago
Dewji Blog14 Apr
10 years ago
Michuzi