RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI MAJENGO YA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UFARANSA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Pamoja naye ni Mama Salma Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Hamad Msauni na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe Mhe Begum Taj.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni baada ya kufungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI MAJENGO YA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UFARANSA JIJINI PARIS


10 years ago
GPL
SHEREHE ZA UFUNGUAJI WA MAJENGO YA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UFARANSA
9 years ago
Dewji Blog17 Dec
Mtandao wa Modewjiblog watembelea Ubalozi wa Tanzania uliopo jiji la Paris nchini Ufaransa!!
Mwanahabari mwandamizi wa mtandao huu wa www.modewjiblog.com, Andrew Chale akiwa katikak picha ya pamoja na Afisa Balozi wa Tanzania nchini, Ufaransa, Bi. Grace Akyoo. Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa zinapatikana katika jiji la Paris eneo la Victor Hugo.
[Paris] ni moja ya majiji yenye raha na starehe za kila aina hapa duniani jiji hili lipo nchini Ufaransa ambapo karibu asilimia kubwa limekuwa likipokea wageni mbalimbali kutoka nchi zote Duniani hasa kutembelea kwa misimu yote...
5 years ago
MichuziNAIBU SPIKA WA BUNGE DK.TULIA AUPONGEZA UBALOZI WA UFARANSA NCHINI TANZANIA KWA JITIHADA ZAKE ZA KUSHIRIKI KIKAMILIFU KULETA MAENDELEO
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI MKUTANO WA NNE WA MABALOZI


11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI NYUMBA ZA MAKAZI MEDELI, DODOMA
11 years ago
Dewji Blog02 Sep
Rais Kikwete afungua rasmi nyumba za makazi za Medeli leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea mradi wa nyumba za makazi za Medeli zilizopo Mjini Dodoma wenye nyumba 150, kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk Rehema Nchimbi (wa kwanza kushoto) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Zakhia Meghji na Naibu Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Simbachawene. Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe na Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma,...
10 years ago
Vijimambo
PICHA ZINGINE RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI MKUTANO WA NNE WA MABALOZI


10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI JENGO LA OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI DODOMA
Akizungumza wakati wa ufunguzi huo, Rais Kikwete ameipongeza Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa kujenga jengo zuri linaloakisi sifa na heshima ya utendaji wa Ofisi hiyo.
Kwa upande wake CAG, aliishukuru Serikali ya Awamu ya Nne kwa kuiwezesha ofisi yake na kuongeza uhuru wa ofisi hiyo kwa kuwawezesha kujenga majengo katika...