Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI MKUTANO WA NNE WA MABALOZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati akifungua rasmi Mkutano wa Nne wa Mabalozi wa Tanzania nje ya nchi. Mkutano huo umefanyika katika Hoteli ya Ramada Jijini Dar es Salaam ukiwa umebeba Kaulimbiu isemayo "Diplomasia ya Tanzania Kuelekea Dira ya Taifa 2025".Mhe. Rais Kikwete akizungumza huku Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (katikati) pamoja na Katibu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI MKUTANO WA NNE WA MABALOZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati akifungua rasmi Mkutano wa Nne wa Mabalozi wa Tanzania nje ya nchi. Mkutano huo umefanyika katika Hoteli ya Ramada Jijini Dar es Salaam ukiwa umebeba Kaulimbiu isemayo "Diplomasia ya Tanzania Kuelekea Dira ya Taifa 2025". Mhe. Rais Kikwete akizungumza huku Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (katikati) pamoja na Katibu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Jakaya Kikwete afungua rasmi mkutano wa nne wa mabalozi Jijini Dar

Mhe. Rais Kikwete akizungumza huku Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (katikati) pamoja na Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula wakimsikiliza. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati akifungua rasmi Mkutano wa Nne wa Mabalozi wa Tanzania nje ya nchi. Mkutano huo umefanyika katika Hoteli ya Ramada Jijini Dar es...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA NNE WA SIKU TATU WA MABALOZI WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif anayetembea kati kati ya zulia jekundu akisindikizwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe kulia yake na Naibu waziri wa Wizara hiyo Mh. Mahadhi Juma kushoto yake wakiingia ndani ya Hoteli ya Ramada Dar es salaam kwenye ufungaji wa Mkutano wa Nne wa Mabalozi wa Tanzania nchi mbali mbali Duniani.Balozi Seif kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyejkiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohammed Shein akiufunga...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete afungua Mkutano wa Mabalozi wa Tanzania


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa Mabalozi wa Tanzania unaofanyika katika hoteli ya Ramada jijini Dar es Salaam. Mkutano huo unajadili kwa kina namna ya kutekeleza dira mpya ya Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania ili kuendana na mabadiliko ya Uchumi na Diplomasia Duniani na kuleta tija nchini. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa Mabalozi wa Tanzania unaofanyika katika hoteli ya Ramada jijini Dar es Salaam. Mkutano huo unajadili kwa kina namna ya kutekeleza...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA NNE WA WADAU WA NSSF JIJINI ARUSHA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuga yake ya Ufunguzi wa Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza leo,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.katika hotuba yake,Rais Kikwete ameitaka Mifuko ya Hifadhi za Jamii kuhakikisha inawafikia wananchi wengi ambao bado hajapata ufahamu mzuri wa umuhimu wa kujiwekea akiba. Rais wa Jamhuri ya...

 

9 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete afungua Mkutano wa Wadau wa Barabara wa TAMISEMI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi katika mkutano wa Mwaka wa Wadau wa Barabara wa TAMISEMI uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto wilayni Arumeru Mkoani Arusha leo jioni(picha na Freddy MARO)

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA OPEN GOVERNMENT PARTNERSHI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akielezea jambo wakati akifungua rasmi mkutano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani