Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hali ya Rais Kikwete yaimarika

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Liberata Mulamula aliyekwenda kumjulia hali katika Hospitali ya John Hopkins iliyopo Baltimore, Maryland, nchini Marekani jana, siku moja baada ya kufanyiwa upasuaji wa tezi dume. Hali ya Rais ni nzuri na ameanza mazoezi ya kutembea. (Picha na Ikulu).HALI ya Rais Jakaya Kikwete ambaye mwishoni mwa wiki alifanyiwa operesheni ya tezi dume, inaendelea kuimarika na ameanza kufanya mazoezi ya kutembea.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Hali ya Schumacher yaimarika

Madaktari wa bingwa wa zamani wa mbio za magari ya langa langa, Michael Schumacher, wamesema hali yake imeimarika kiasi

 

11 years ago

BBCSwahili

Wakala: Hali ya Shumacher yaimarika

Michael Schumacher aanza kupata fahamu baada ya kutojitambua kwa muda mrefu hospitalini

 

10 years ago

BBCSwahili

Hali ya Fernando Alonso yaimarika

Hali ya Dereva wa magari yaendayo kasi ya Fomula 1 Fernando Alonso imeimarika

 

11 years ago

Mtanzania

Hali ya Rage yaimarika Aga Khan

Ismail Aden Rage

Ismail Aden Rage

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

HALI ya aliyekuwa Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, imezidi kuimarika ambapo kwa sasa amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam.

Rage alipata ajali juzi mkoani Dodoma, akiwa pamoja na majeruhi wenzake wanne walilazwa katika hospitali ya mkoa huo kabla ya kuhamishiwa Aga Khan.

Akizungumza Dar es Salaam jana akiwa hospitalini hapo, Rage alisema anaendelea vizuri ambapo kwa mujibu wa daktari alisema itamchukua wiki tatu...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAMJULIA HALI MBUNGE WA NAMTUMBO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mbunge wa Namtumbo Mhe. Vita Kawawa aliyelazwa katika Hospitali ya AMI jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati yao ni Mhe Adam Malima, naibu Waziri wa Fedha na kushoto ni Daktari katika wodi hiyo . PICHA: IKULU

 

10 years ago

Michuzi

RAIS JAKAYA KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAMJULIA HALI MBUNGE WA NAMTUMBO MHE VITA KAWAWA ALIYELAZWA HOSPITALI YA AMI JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mbunge wa Namtumbo Mhe. Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam Jumatano,  Januari 14, 2015  akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati yao ni Mhe Adam Malima, nai bu Waziri wa Fedha na kushoto ni Daktari katika wodi hiyo.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAMJULIA HALI MBUNGE WA NAMTUMBO MHE VITA KAWAWA ALIYELAZWA HOSPITALI YA AMI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia haliMbunge wa Namtumbo Mhe. Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitaliya AMI jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati yaoni Mhe Adam Malima, nai bu Waziri wa Fedha na kushoto ni Daktarikatika wodi hiyo.
PICHA NA IKULU

 

10 years ago

Michuzi

Updates: Hali ya Rais Kikwete yazidi kuhimarika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete jana, Jumatatu, Novemba 10, 2014, alianza kuwasiliana na mamia kwa mamia ya wananchi mbali mbali nchini kujibu ujumbe mfupi wa maandishi (SMS) wa kumpa pole, kumtakia heri na nafuu ya haraka ambao amekuwa anatumiwa na wananchi tokea mwishoni mwa wiki.
Tangu alipofanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostrate) Jumamosi iliyopita kwenye Hospitali ya Johns Hopkins, Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani, Rais Kikwete amepokea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani