Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yazidi kufanya kweli Botswana

TIMU ya Tanzania chini ya miaka 15, imeendelea kung’ara kwenye Michezo ya Afrika kwa Vijana (AYG) kwa upande wa soka baada ya kuichapa Swaziland mabao 3-0. Mabao ya Tanzania katika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Hongera vijana wetu kufanya kweli Brazil

TIMU ya soka ya taifa inayoundwa na watoto wa mitaani, Jumapili iliyopita waliing’arisha Tanzania katika medani ya kimataifa, baada ya kubeba ubingwa wa dunia kwa kuifunga Burundi katika mashindano hayo...

 

10 years ago

Mwananchi

Msanii wa filamu aliyeamua kufanya kweli kwenye uchungaji

Tabia hujenga mazoea, au mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Hii yote ni misemo ya wahenga , na kwa upande mwingine baadhi ya watu hufikia kuamini kuwa kazi anayoifanya mtu fulani huweza kuathiri utamaduni wake katika maisha yake ya kila siku.

 

10 years ago

Bongo Movies

Ni Kweli Wema Anatamni Kufanya Kama Amber Rose? Soma Alichoandika

HAPA NA PALE: Moja kati ya mastori ya makubwa kabisa kwenye ulimwengu wa ‘Gossip ‘  ni kitendo cha mwanadada Amber Rose kuiambia dunia kuwa penzi lake lipo kwa aliekuwa mpenzi wake Wiz Khalifa haijalishi watu watasemaje kwani Wiz ndio mwanaume anaempa furaha na amani ya moyo wake kitu kinachoashilia huenda wawili hao kwasasa mambo shwaari.

“My ManCrushEveryday you know what it is.... We went wrong somewhere and even if we never ever get back together ( Even tho I pray, dream and hope we do)...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ni Kweli Wema Anatamani Kufanya Kama Amber Rose? Soma Alichoandika

HAPA NA PALE: Moja kati ya mastori ya makubwa kabisa kwenye ulimwengu wa ‘Gossip ‘  ni kitendo cha mwanadada Amber Rose kuiambia dunia kuwa penzi lake lipo kwa aliekuwa mpenzi wake Wiz Khalifa haijalishi watu watasemaje kwani Wiz ndio mwanaume anaempa furaha na amani ya moyo wake kitu kinachoashilia huenda wawili hao kwasasa mambo shwaari.

“My ManCrushEveryday you know what it is.... We went wrong somewhere and even if we never ever get back together ( Even tho I pray, dream and hope we do)...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal aagana na Balozi wa Botswana nchini Tanzania Ikulu Dar, akutana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania

02

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana, aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. (Picha na OMR).

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na  Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana,...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA BOTSWANA NCHINI TANZANIA IKULU DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana, aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana, aliyefika ofisini kwake Ikulu...

 

10 years ago

Vijimambo

Utajua Marafiki wa kweli na Mburulazzz, Lulu Michael Ndio Rafiki wa Kweli

The King Of All Bongo Social Media Network, Le Mutuz ukipenda muite Mzee wa mabebezz amemshukuru mrembo na mwigizaji lulu kwa kuonyesha kumjali wakati wa matizao na kuwashukia baadhi ya marafiki zake ambao huwa wao pamoja nae wakati wa raha tu, ila wakataki washida wote hupoatea. Le mutuz alifunguka“Kwenye shida ndio utajua marafiki wa kweli na le super gademu mburulazzz ..nilipotangaza my House warming Party yanapiga simu kila dakika kuomba mualiko lakini nimesema Mama yangu anaumwa hamna...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani