Msanii wa filamu aliyeamua kufanya kweli kwenye uchungaji
Tabia hujenga mazoea, au mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Hii yote ni misemo ya wahenga , na kwa upande mwingine baadhi ya watu hufikia kuamini kuwa kazi anayoifanya mtu fulani huweza kuathiri utamaduni wake katika maisha yake ya kila siku.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo502 Mar
Ni kweli nimekopi filamu ya kihindi — mwandishi wa filamu mpya ya JB
10 years ago
Dewji Blog27 Oct
Msanii Lulu aitambulisha filamu yake mpya iitwayo Mapenzi ya Mungu, filamu yaingia sokoni leo
Msanii wa Sanaa ya Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa alipokuwa akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU ambayo amewashirikisha Flora Mtegoha au Mama Kanumba na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Linah Sanga.
Msanii Wa Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU leo mbele ya wanahabari (hawapo pichani).,Kulia ni Mmoja kati wa...
10 years ago
VijimamboMSANII LULU AITAMBULISHA FILAMU YAKE MPYA IITWAYO MAPENZI YA MUNGU LEO.FILAMU YAINGIA SOKONI LEO
10 years ago
GPLMSANII LULU AITAMBULISHA FILAMU YAKE MPYA IITWAYO MAPENZI YA MUNGU LEO.FILAMU YAINGIA SOKONI LEO
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Tanzania yazidi kufanya kweli Botswana
TIMU ya Tanzania chini ya miaka 15, imeendelea kung’ara kwenye Michezo ya Afrika kwa Vijana (AYG) kwa upande wa soka baada ya kuichapa Swaziland mabao 3-0. Mabao ya Tanzania katika...
11 years ago
Tanzania Daima11 Apr
Hongera vijana wetu kufanya kweli Brazil
TIMU ya soka ya taifa inayoundwa na watoto wa mitaani, Jumapili iliyopita waliing’arisha Tanzania katika medani ya kimataifa, baada ya kubeba ubingwa wa dunia kwa kuifunga Burundi katika mashindano hayo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/i*tFWQTF2R*7IAsxUaBt4P3Qxcy2kMfWPVplo2ntTbjmi0p7c9Pe*EVd0741GU2ewWaWMb6veDuVocMHo0L9ROX2PK4QSZvN/1moto3.jpg?width=650)
NYUMBA YA MSANII WA FILAMU YATEKETEA
10 years ago
Vijimambo17 Jul
MSANII MAARUFU WA FILAMU AJIUNGA NA ACT WAZALEND
![Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi kadi msanii maarufu wa filamu nchini, Mohamed Mwikongi jina la sanaa 'Frank' alipotambulishwa mara baada ya kujiunga na chama hicho.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_0085.jpg)
![Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi aliyekuwa Mwenyekiti wa kitengo cha vijana Taifa wa NCCR Mageuzi, Deo Meck alipotangazwa kujiunga na chama hicho rasmi leo jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_0047.jpg)
![Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi kadi na katiba msanii maarufu wa filamu nchini, Mohamed Mwikongi jina la sanaa 'Frank' alipotambulishwa mara baada ya kujiunga na chama hicho.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_0080.jpg)
10 years ago
Bongo Movies04 Apr
Ni Kweli Wema Anatamni Kufanya Kama Amber Rose? Soma Alichoandika
HAPA NA PALE: Moja kati ya mastori ya makubwa kabisa kwenye ulimwengu wa ‘Gossip ‘ ni kitendo cha mwanadada Amber Rose kuiambia dunia kuwa penzi lake lipo kwa aliekuwa mpenzi wake Wiz Khalifa haijalishi watu watasemaje kwani Wiz ndio mwanaume anaempa furaha na amani ya moyo wake kitu kinachoashilia huenda wawili hao kwasasa mambo shwaari.
“My ManCrushEveryday you know what it is.... We went wrong somewhere and even if we never ever get back together ( Even tho I pray, dream and hope we do)...