Ni kweli nimekopi filamu ya kihindi — mwandishi wa filamu mpya ya JB
Mwandishi filamu za Jacob ‘JB’ Stephen, Daniel Manege amemtetea muigizaji huyo kuwa hakuwa na makosa ya kuigiza filamu ya ‘Mzee wa Swagga’ ambayo ni kopi ya filamu ya kihindi, Ladies Vs Ricky Bahl. Manege aliyeiandika filamu hiyo pamoja na zingine zikiwemo Dereva Taxi, Nakwenda kwa Mwanangu, Shikamoo Mzee, Bado Natafuta zingine, ameandika ujumbe kupitia Facebook […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo526 Feb
Filamu mpya ya JB ‘Mzee wa Swagga’ ni kopi 100% ya filamu ya kihindi
10 years ago
Bongo Movies24 Dec
Bei Mpya za Filamu:Mtitu Aendelea Kuwaponda Baadi ya Wasanii wa Filamu
Mtengenezaji wa filamu mkongwe hapa nchini, William Mtitu ameendela kuwaponda baadhi ya wasanii ambao wanafanya kazi na kampuni ya Steps Entertainment kwa kukubali kushisha bei ya kazi zao kutoka shilingi 3000/= hadi shilingi 1,500 /= kwa CD moja kwa rejareja.
Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, Mtitu aliweka picha hiyo hapo juu na kuandika maneno haya;
"Wakati tukiangaika maporini kushuti sinema zenye ubora wasanii wenzetu sijui tuite upumbavu au kutojielewa wanajifungia ndani na wàhindi...
10 years ago
Dewji Blog27 Oct
Msanii Lulu aitambulisha filamu yake mpya iitwayo Mapenzi ya Mungu, filamu yaingia sokoni leo
Msanii wa Sanaa ya Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa alipokuwa akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU ambayo amewashirikisha Flora Mtegoha au Mama Kanumba na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Linah Sanga.
Msanii Wa Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU leo mbele ya wanahabari (hawapo pichani).,Kulia ni Mmoja kati wa...
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa kwa kupata kibali cha kuingia sokoni kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza kampuni ya Al-Riyamy Production ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za TRA...
10 years ago
Vijimambo14 Nov
BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI
10 years ago
VijimamboMSANII LULU AITAMBULISHA FILAMU YAKE MPYA IITWAYO MAPENZI YA MUNGU LEO.FILAMU YAINGIA SOKONI LEO
10 years ago
GPLMSANII LULU AITAMBULISHA FILAMU YAKE MPYA IITWAYO MAPENZI YA MUNGU LEO.FILAMU YAINGIA SOKONI LEO
10 years ago
Mwananchi05 Oct
Msanii wa filamu aliyeamua kufanya kweli kwenye uchungaji