Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA YAPOROMOKA VIWANGO VYA FIFA

SHIRIKISHO la Soka la Dunia (Fifa) limetangaza viwango vipya vya ubora wa soka duniani kwa Agosti, 2014 huku Tanzania ikiporomoka kwa nafasi nne kutoka 106 hadi 110. Katika orodha hiyo iliyotolewa leo Agosti 14, 2014 Ujerumani ndiyo vinara wakifuatiwa na Argentina, Uholanzi, Colombia, Ubelgiji, Uruguay, Hispania, Brazil, Switzerland na Ufaransa.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TANZANIA YAZIDI KUSHUKA VIWANGO VYA FIFA

SHIRIKISHO la Soka la Dunia (Fifa) limetangaza viwango vipya vya ubora wa soka duniani kwa mwezi Septemba, 2014 huku Tanzania ikishuka kwa nafasi tano kutoka 110 hadi 115. Tanzania imeonyesha kuzidi kuporomoka katika viwango hivyo baada ya orodha ya Agosti 14, 2014 kushika nafasi ya 110 ikiwa imeshuka nafasi nne kutoka ya 106. Katika orodha hiyo iliyotolewa leo Septemba 18, 2014 Ujerumani ndiyo vinara katika 10 bora wakifuatiwa...

 

9 years ago

Bongo5

Hii orodha mpya ya viwango vya soka duniani FIFA, Tanzania yashika nafasi ya 136

Shirikisho la soka duniani Fifa limetangaza viwango vya ubora vya mchezo wa soka kwa mwezi Septemba ambapo Argentina wanaendelea kuongoza katika chati hiyo. Mabingwa wa dunia Ujerumani wanashika nafasi ya pili, huku Ubelgiji wakishika nafasi ya tatu katika viwango vya ubora. Algeria ndio taifa la Afrika linaloongoza likiwa nafasi ya 19 huku Ivory Coast wakiwa […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Fifa yataja viwango vya ubora wa soka

Tanzania na Uganda zimeshuka katika viwango ya FIFA vilivyotolewa wiki hii huku Kenya , Sudan na Rwanda zikipanda.

 

10 years ago

BBCSwahili

Fifa yatoa viwango vipya vya soka .

FIFA imetoa viwango vipya vya soka duniani ,Tanzania na Rwanda zikishuka wakati Kenya, Uganda na Burundi zikipanda viwango.

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania yashuka tena viwango Fifa

>Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limetoa viwango vipya vya ubora, huku Tanzania ikiporomoka kwa nafasi 12, kiasi cha kuwaumiza wadau wa soka nchini.

 

11 years ago

Michuzi

TAASISI YA VIWANGO ZANZIBAR (ZBS) NA TASISI YA VIWANGO TANZANIA (TBS) ZAKUBALIANA KUFANYA KAZI PAMOJA

Mwenyekiti wa kamati ya pamoja ya mashirikiano kati ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na la Zanzibar (ZBS) Bwa. Suleiman Masoud Makame akiitambulisha kamati ya watalamu yenye wajumbe nane wanne kutoka Bara na wane Zanzibar kwa Naibu Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Thuwaiba Edington Kisasi katika Mkutano uliofanyika Amani Zanzibar. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Rashid Ali Salum akimkabidhi ripoti ya Kamati ya pamoja ya mashirikiano Mhe. Naibu Waziri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani