RICHIE SASA UMEANZA KUIRUDISHA BONGO MOVIE KWENYE MSTARI!
![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfgZhlZeIvMNhcq25RyjoO0NqNmI7v7oJpWrj4zO9KEcUTk*RjZ*ur2oSoO2kz*bNsxqWUoMJEzOGAX3e0hyrs0c/BARUANZITO.jpg)
Single Mtambalike ‘Richie’. KWAKO, Staa wa filamu Bongo, Single Mtambalike ‘Richie’. Naamini utakuwa uko poa na mchakamchaka wa maisha unaendelea kama kawaida. Kwa mara nyingine nimekukumbuka kwa barua. Tofauti na wakati uliopita, leo ni pongezi; ni kawaida ya Barua Nzito, hata siku moja haijawahi kumuonea mtu. Mtu akifanya jambo zuri huambiwa bila unafiki na akikosea basi atakula za uso! Ndiyo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jzsUW*22gf0Y3wHmDhpyB3aL5E7G2WUtSfvaF*fLlD5vUDosOPE7KQo9BCJqjkfWMCgpxId1JDBu3g9WJyPkg59HMCO7xAUO/bongo.jpg?width=650)
RICHIE: TUMEBWIA FEDHA ZA BONGO MOVIE
10 years ago
Bongo Movies27 Jan
PICHA : Movie Mpya ya Richie..Hakika Itakuwa Kwenye Viwango vya Juu!!
Kupitia mtandaoni, mwigizaji na muongozaji wa filamu hapa nchini, Single Mtambalike “Richie” alitupia baadhi ya picha za kwenye movie mpya ambayo itakwenda kwa jina la “NDIO HIVYO” .
Wadau wengi wameonyesha kuisubiri kwahamu kubwa kwani picha hizi za awali zimeonyesha kuwa movie hiyo itakuwa kwenye kiwango cha juu zaidi tofauti na movie nyingi ambazo huwa hazina uhalisia hasa linapokwuja swala la kuigiza “sini”za mahakamani , gerezani na hata polisi.
Lakini hii sasa ninaonekana itakuja na...
5 years ago
Bongo Movies02 Mar
Duma Kuirudisha Bongo Muvi
Msanii wa filamu bongo, Daudi Michael maarufu kama ‘Duma’ amesema lengo la yeye kumuita nchini msanii kutoka nchi ya Australia John K ni kutaka kuirudisha hadhi ya filamu ambayo imepotea kwa kipindi kirefu katika macho ya watu.
Duma amebainisha hayo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha eNewz kutoka EATV muda mchache baada ya kumpokea mgeni wake huyo kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam.
“Watanzania wanapaswa watupe ushirikiano sana...
10 years ago
Dewji Blog22 May
Staa wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel sasa ni Mama COOKIE!! ajifungua mtoto wa kike
Aunt Ezekiel
Na Andrew Chale, Modewji blog
Ilikuwa si rahisi kama ilivyojulikana na wengi hasa kwa namna ya ‘fans’ wa staa wa filamu za Bongo maalufu Bongo Movie, kujua hatma ya ujauzito wake ambao ulikuwa ukifuatiliwa na wengi. staa huyo si mwingine ni Aunty Ezekiel (pichani), katika kipindii chote cha ujauzito wake. Lakini kwa neema za Mungu, Asubuhi ya Mei 21.2015, staa huyo aliweza kuifungulia dunia kwa kumleta mtoto wa kike.
Hata hivyo, Mtoto huyo tayari jina lake limeshajulikana...
10 years ago
Bongo Movies17 Dec
Nyuma ya Kamera: KALEKWA Ndio Jina la Movie Mpya ya Richie na Rose Ndauka
Hizi ni baadhi ya picha za nyuma ya kamera zilizopiga wakiwa ON SET kwenye utengenezaji wa filamu mpya itakayoitwa KALEKWA, inayofanyika chini ya kampuni ya Bulls Entertainment.
Movie hii mpya itawajumisha waigizaji wakali wengi wakiwemo Single matambalike “Richie”ambae ndio mwongozaji wa filamu hii na pia ni mkurugenzi wa kampuni ya Bulls Entertainment na mwanadada Rose Ndauka amabao kwa pamoja wamekuwa wakitoa vitu vikali sana.
Tunaisubiri kwa hamu!!!.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-fzybEM3xnF4/VL7PBjivPMI/AAAAAAADWOw/F7tRcH5eMGg/s72-c/10930532_10152981231765552_5392294328227770354_n.jpg)
11 years ago
Dewji Blog31 May
Breaking News: Msiba mwingine Bongo Movie “George Tyson” afariki kwenye ajali ya gari usiku huu
Produza maarufu wa filamu nchini George Tyson (pichani) amefariki dunia usiku huu kwenye ajali ya gari Morogoro wakitokea Dodoma na wenzake sita kujeruhiwa akiwemo Blogger maarufu DJ Choka.
Chanzo cha jali hiyo akijajulikana bado MOblog inaendelea kufuatilia kwa ukaribu zaidi na tutawapa taarifa hapo baadae.
Taarifa hizi zimethibitishwa na jamaa wa karibu wa marehemu.
MOblog inaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha marehemu George Tyson na inawaombea nafuu wote waliojeruhiwa kwenye...