RICHIE: TUMEBWIA FEDHA ZA BONGO MOVIE
![](http://api.ning.com:80/files/jzsUW*22gf0Y3wHmDhpyB3aL5E7G2WUtSfvaF*fLlD5vUDosOPE7KQo9BCJqjkfWMCgpxId1JDBu3g9WJyPkg59HMCO7xAUO/bongo.jpg?width=650)
Na Brighton Masalu MKONGWE katika anga la filamu za Kibongo, Single Mtambalike ‘Richie’ amekiri kutumia vibaya madaraka wakati wa uongozi wake kama mweka hazina wa Klabu ya Bongo Movie msimu uliopita. Single Mtambalike ‘Richie’. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar, Richie alisema kulikuwa na mfumo mbovu wa jinsi ya kutumia pesa. “Kuna...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfgZhlZeIvMNhcq25RyjoO0NqNmI7v7oJpWrj4zO9KEcUTk*RjZ*ur2oSoO2kz*bNsxqWUoMJEzOGAX3e0hyrs0c/BARUANZITO.jpg)
RICHIE SASA UMEANZA KUIRUDISHA BONGO MOVIE KWENYE MSTARI!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iRGkQSu08cszUpwT3XBsq8Kk1Rj6gsNJ6iCoDThklzdvDnNksH6nIK1nn8D0iMps1yl2bWmuaSllRJSh65BAxNoEVyONEmyD/maya.jpg)
MAYA: WANAOCHAKACHUA FEDHA BONGO MOVIE WAADHIBIWE
10 years ago
Bongo Movies27 Jan
PICHA : Movie Mpya ya Richie..Hakika Itakuwa Kwenye Viwango vya Juu!!
Kupitia mtandaoni, mwigizaji na muongozaji wa filamu hapa nchini, Single Mtambalike “Richie” alitupia baadhi ya picha za kwenye movie mpya ambayo itakwenda kwa jina la “NDIO HIVYO” .
Wadau wengi wameonyesha kuisubiri kwahamu kubwa kwani picha hizi za awali zimeonyesha kuwa movie hiyo itakuwa kwenye kiwango cha juu zaidi tofauti na movie nyingi ambazo huwa hazina uhalisia hasa linapokwuja swala la kuigiza “sini”za mahakamani , gerezani na hata polisi.
Lakini hii sasa ninaonekana itakuja na...
10 years ago
Bongo Movies17 Dec
Nyuma ya Kamera: KALEKWA Ndio Jina la Movie Mpya ya Richie na Rose Ndauka
Hizi ni baadhi ya picha za nyuma ya kamera zilizopiga wakiwa ON SET kwenye utengenezaji wa filamu mpya itakayoitwa KALEKWA, inayofanyika chini ya kampuni ya Bulls Entertainment.
Movie hii mpya itawajumisha waigizaji wakali wengi wakiwemo Single matambalike “Richie”ambae ndio mwongozaji wa filamu hii na pia ni mkurugenzi wa kampuni ya Bulls Entertainment na mwanadada Rose Ndauka amabao kwa pamoja wamekuwa wakitoa vitu vikali sana.
Tunaisubiri kwa hamu!!!.
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha)
Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na Bongo Fleva, sasa hapa nimefanikiwa kupata picha 11 za mastaa wanaomiliki magari makali Dar es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]
The post Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.
5 years ago
Bongo514 Feb
Wasanii wa Bongo Movie wanaishi ‘Ki Bongo Flava’ – Nikki wa Pili
Msanii wa hip hop kutoka Weusi, Nikki wa Pili, ametia neno katika sakata linaloendelea la kupigwa marufuku kwa filamu za nje kwa madai zinaingizwa bila kulipiwa kodi hali ambayo imesababisha kuwa nyingi na kuzinyima filamu za ndani nafasi ya kufanya vizuri sokoni.
Hatua hiyo imekuja baada ya siku ya Jumatano wiki hii baadhi ya wasanii wa filamu nchini kuandamana wakiwa na Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, Paul Makonda, kupinga filamu hizo ambapo RC huyo alipiga marufuku filamu hizo huku akitaka...