Polisi Singida yapiga marufuku maandamao ya UKAWA kupinga ushindi wa Rais mteule Dk. Magufuli
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Singida, Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari juu ya kupinga maandamano ya vyama vinavyounda Katiba ya Wananchi (UKAWA) kupinga matokeo ya tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumtangaza Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Na Hillary Shoo, SINGIDA
JESHI la polisi Mkoani Singida limepiga marufuku maandamano yanayotarajiwa kuandaliwa na kufanyika chini ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ya kupinga ushindi wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/CSjOelOW4AE7cUo.jpg?width=600)
RAIS MTEULE JOHN POMBE MAGUFULI AKABIDHIWA CHETI CHA USHINDI
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/MAGUFURI-1.jpg)
RAIS MTEULE WA TANZANIA JOHN POMBE MAGUFULI AKABIDHIWA CHETI CHAKE CHA USHINDI
9 years ago
CCM Blog![](http://2.bp.blogspot.com/-7A2r6-CDav8/VjNTl0xLxtI/AAAAAAAA04c/PQUjjSyOVEw/s72-c/DSC_0413.jpg)
RAIS MTEULE WA TANZANIA DK. JOHN MAGUFULI AKABIDHIWA CHETI CHAKE CHA USHINDI LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-7A2r6-CDav8/VjNTl0xLxtI/AAAAAAAA04c/PQUjjSyOVEw/s640/DSC_0413.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Polisi yapiga marufuku ‘vigodoro’
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limepiga marufuku kumbi zote za starehe kupiga disko toto pamoja na disko vumbi maarufu kama ‘vigodoro’ ili kuepusha fujo katika kusherehekea...
10 years ago
Habarileo18 Sep
Polisi yapiga marufuku maandamano Chadema
JESHI la Polisi nchini limepiga marufuku maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyotarajiwa kuanza kufanyika leo katika maeneo mbalimbali nchini. Jeshi hilo limeonya kuwa maandamano hayo ni batili na ni kinyume cha sheria.
9 years ago
Mwananchi06 Nov
Polisi yapiga marufuku maandamano, mikutano ya kisiasa nchini
9 years ago
StarTV03 Nov
Polisi Kanda maalum Dar yapiga marufuku maandano ya Chadema. Â
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limezuia maandamano ya wananchama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yasiyo kuwa na kikomo kwasababu ni kinyume na sheria.
Maandamano ya wafuasi wa CHADEMA yalipangwa kufanyika kuanzia Novemba 3 mwaka huu katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar Es Salaam kudai uporwaji wa Demokrasia dhidi ya mgombea wao Edward Lowassa.
Ni kamishina wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam, Kamanda Suleimani Kova akitoa tamko la...
10 years ago
MichuziPOLISI YAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA VIJANA WA CUF,WATAKAO ANDAMANA NGUVU YA DOLA ITATUMIKA
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia maandamano ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Wananchi (JUVICUF) na kusema watakaoandamana kesho nguvu ya dola itatumika
Akizungumza na waandishi wa habari leo,Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Kamishina wa Jeshi la Polisi (CP),Suleiman Kova amesema wamewashauri vijana hao na kusema wataandamana hivyo ni lazima nguvu itumike kuzima maandamano hayo kutokana na kuzuia kufanyika kwa shughuli...
9 years ago
StarTV04 Nov
Maandamano ya UKAWA Singida yapigwa marufuku
Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano ya kupinga matokeo ya Urais katika uchaguzi mkuu uliofanyika wiki iliyopita yaliyopangwa kufanywa mkoani Singida leo Jumanne na wanachama na wafuasi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA.
Imeelezwa kuwa Maandamano hayo yanayotarajiwa kuanza saa 4:00 asubuhi na kuishia kwenye Ofisi za wakuu wa Wilaya na mkoa pia yanalenga kushinikiza kutangzwa kwa Edward Lowasa wa CHADEMA kuwa ndiye mshindi wa nafasi wa Urais suala...