Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi Kanda maalum Dar yapiga marufuku maandano ya Chadema.  

 

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limezuia  maandamano ya wananchama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yasiyo kuwa na kikomo  kwasababu ni kinyume na sheria.

Maandamano  ya wafuasi  wa CHADEMA yalipangwa kufanyika  kuanzia  Novemba 3 mwaka huu katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar Es Salaam  kudai uporwaji wa Demokrasia dhidi ya mgombea wao Edward Lowassa.

Ni kamishina wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam, Kamanda Suleimani Kova akitoa tamko la...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM LAPIGA MARUFUKU WAGOMBEA WA VYAMA VYA SIASA KU FANYA VITENDO VINAVYOHATARISHA USALAMA.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHIJESHI LA POLISI TANZANIAPRESS RELEASE25/08/2015Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limegundua kwamba kuna baadhi ya wagombea wa vyama vya siasa ambao wameanziasha mtindo wa kutembelea maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam kama vile vituo vya daladala, masoko mbalimbali, n.k. kwa madai ya kuyatembelea makundi ya watu wenye kipato cha hali ya chini.
Kutokana na uzoefu uliojitokeza katika ziara hizo zisizo rasmi ni kwamba...

 

10 years ago

Habarileo

Polisi yapiga marufuku maandamano Chadema

JESHI la Polisi nchini limepiga marufuku maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyotarajiwa kuanza kufanyika leo katika maeneo mbalimbali nchini. Jeshi hilo limeonya kuwa maandamano hayo ni batili na ni kinyume cha sheria.

 

10 years ago

Michuzi

ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA AJISALIMISHA POLISI KWA MKUU WA UPELELEZI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeanza kumhoji Askofu JOSEPHAT GWAJIMA wa Kanisa la Ufufuo na Uzima baada ya kujisalimisha kama alivyotakiwa kufanya hivyo na Kamishana wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
Askofu Gwajima alifika kituo kikuu cha Polisi saa nane na dakika kumi na tano mchana wa tarehe 27/03/2015. Mara baada ya kufika kituoni hapo alielekezwa kwenda kumuona Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Constantine Masawe ambaye alikuwa akisubiri kufika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi yapiga marufuku ‘vigodoro’

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limepiga marufuku kumbi zote za starehe kupiga disko toto pamoja na disko vumbi maarufu kama ‘vigodoro’ ili kuepusha fujo katika kusherehekea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani