JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LAZUIA MAANDAMANO YALIYOPANGWA NA CHADEMA
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP), Emmanuel G. Lukula. Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limetoa tamko la kuzuia maandamano ya Chama cha CHADEMA ya tarehe 18/09/2014 na kuwataka wananchi kuyapuuza. Akiongea na waandishi wa habari, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi wa Polisi EMMANUEL G. LUKULA (ACP) alisema kuwa;...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziJESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LAZUIA MAANDAMANO YALIYOPANGWA NA CHADEMA
9 years ago
Habarileo03 Nov
Jeshi la Polisi lapiga ‘stop’maandamano ya Chadema
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imepiga marufuku maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yaliyopangwa kufanyika bila ukomo kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni kinyume cha sheria.
10 years ago
MichuziMAANDAMANO YA CHADEMA YADHIBITIWA NA POLISI DODOMA
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Polisi yazima maandamano ya Chadema Dodoma, ni ya kupinga kuendelea Bunge la Katiba
10 years ago
Michuzi15 Jan
Polisi Mkoa wa Dodoma inawashikilia wanafunzi 84 wa chuo Kikuu UDOM kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani Chuoni na kufanya maandamano haramu kutoka Chuoni kuelekea katika Ofisi mbalimbali za viongozi wa Serikali zilizopo Dodoma Mjini
10 years ago
Michuzi03 Oct
10 years ago
MichuziJESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LINAMSAKA ANAYESAMBAZA VIPEPERUSHI VINAVYOTISHIA NA KUHAMASISHA UVUNJIFU WA AMANI
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME - SACP amesema tarehe 25/09/2014 alfajiri vimeokotwa vipeperushi maeneo mbalimbali mjini Dodoma vyenye ujumbe ufuatao ONYO – DODOMA SI MAHALI PA KUFUGA WEZI WA FEDHA ZA UMMA. UTAKAYEINGIA BUNGENI KUANZIA KESHO, YATAKAYOKUPATA UTAJUTA.
Kamanda MISIME amesema tumeendelea kupokea taarifa za watu wanaodaiwa kuandaa vipeperushi hivyo na tunafanyia kazi ili tuweze...
10 years ago
VijimamboTAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 13/12/2014
Nataka kuwahakikishia wananchi wote wa mkoa wa Dodoma kwamba Polisi tumejipanga vizuri kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola kusimamia usalama siku hiyo. Hivyo wananchi wajitokeze kupiga kura na wala wasiwe na hofu kwani ulinzi utaimarishwa katika vituo vyote vya kupigia kura na maeneo...
11 years ago
Michuzi17 May
MTU MMOJA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA KWA KUSABABISHA AJALI NA KIFO