Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miss Tanzania yapigwa ‘stop’

Mashindano la Miss Tanzania 2014 yaliyokuwa lifanyike Jumamosi sasa halitafanyika hadi pale kesi ya msingi iliyozua mzozo baina ya wakurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency inayoratibu mashindano hayo itakapomalizika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Menejimenti NICOL yapigwa 'stop'

MAHAKAMA Kuu imezuia menejimenti ya muda ya Kampuni ya Uwekezaji ya NICOL inayoongozwa na Dk Gideon Kaunda na wenzake kujihusisha na shughuli za kampuni hiyo hadi hapo maombi yaliyofunguliwa na walalamikaji yatakapomalizika kusikilizwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Barcelona yapigwa ‘stop’ kusajili

Shirikisho la Soka Ulaya (Uefa) limeizuia klabu ya soka ya Barcelona kusajili wachezaji wapya kwa miezi 12.

 

10 years ago

Habarileo

Maandamano ya Vijana CUF yapigwa ‘stop’

Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman KovaPOLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imepiga marufuku maandamano ya Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Wananchi (JUVICUF) kutokana na kile ilichosema yana lengo la kusababisha uvunjifu wa amani.

 

11 years ago

Mwananchi

AGIZO: Mikutano ya Nape yapigwa ‘stop’

>Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye ameonja chungu ya uamuzi wa Serikali wa kusitisha mikutano ya hadhara katika mikoa ya Lindi na Mtwara baada ya kushindwa kufungua mashina ya chama hicho mjini Mtwara.

 

11 years ago

Habarileo

Maandamano ya Chadema Arusha mjini ‘yapigwa stop’

POLISI imezuia maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yaliyopangwa kufanyika leo jijini Arusha, kwa madai kuwa malalamiko yao yanashughulikiwa.

 

10 years ago

Habarileo

Maandamano ya chama cha CUF yapigwa ‘stop’

CHAMA cha Wananchi -CUF kimeamua kuahirisha maandamano yake, yaliyopangwa kufanyika jana, ikiwa ni ishara ya kuadhimisha miaka 14 ya vifo vya wafuasi wake waliopoteza maisha Januari 27, mwaka 2001.

 

5 years ago

CCM Blog

MITAA YA NAIROBI , MOMBASA KINARA KWA CORONA YAPIGWA STOP KUTOTOKA NJE SAA 24


Wakaazi wa Maeneo ya Eastleigh jijini Nairobi na Old towm mjini Mombasa nchini Kenya hawatoruhusiwa kutoka katika maeneo hayo katika kipindi cha wiki mbili zijazo kuanzia saa moja usiku wa Jumatano Mei 6, 2020.
Hatua hiyo inalenga kuzuia kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona katika maeneo mengine ya miji ya Nairobi na Mombasa huku wagonjwa wengine wapya 47 wakitangazwa na kufanya idadi ya maambukizi kufikia watu 580.
Akizungumza na vyombo vya habari Waziri wa Afya Mutahi kagwe amesema...

 

11 years ago

Michuzi

MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA 2014 KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA

KWA MARA YA KWANZA MSHINDI  KWENDA KUIWAKILISHA USA KWENYE MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA  2014 - JIJINI DAR-ES-SALAAM MSHINDI WA 1,2,3 KILA KANDA KUJA DC KWENYE FINALS AMBAPO  MKURUGENZI NA MWAKILISHI WA MISS TANZANIA KUTOKA TANZANIA WATAKUWEPO KUTOA TAJI HILO.
MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA  VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT   MAELEZO-TUANDIKIE ## MISSTANZANIA2014@GMAIL.COM

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani