Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wapinga marufuku ya maandamano Nigeria

Watu wanaounga mkono maandamano ya kushinikiza serikali kuwanusuru wasichana waliotekwa nyara wamepinga marufuku ya maandamano mjini Abuja.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAHLISO WAPINGA MAANDAMANO YALIYOPANGWA KUFANYIKA KESHO IJUMAA

Makamu Mwenyekiti wa TAHLISO Abdi Mahmoud Abdi akizungumza na Waandishi wa habari leo katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar kuhusu kukanusha Taarifa ya Maandamano yaliyopangwa kufanyika hapo kesho. Picha na Makame MshengaNa Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu TAHLISO limekanusha Taarifa zilizosambazwa katika Vyombo vya habari na Mitandao ya Kijamii juu ya kuwepo wa maandamano ya Wanafunzi wa Vyuo vikuu yanayotarajiwa kufanyika hapo kesho...

 

9 years ago

Mtanzania

IGP apiga marufuku maandamano

Abdulrahman Kaniki(D_IGP)Na Asifiwe George, Dar es Salaam

KAIMU Mkuu wa Polisi, Abdulrahman Kaniki, amepiga marufuku maandamano nchi nzima hadi Uchaguzi Mkuu upite, akisema sababu za kiusalama zimewasukuma kufanya hivyo.

Hatua hiyo imekuja zikiwa zimepita siku nne tangu vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kufanya maandamano makubwa ya kumsindikiza mgombea wao wa urais, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kuchukua fomu ya utezi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Wakati Kaniki akisema hayo jana saa...

 

9 years ago

Habarileo

Maandamano ya Chadema yapigwa marufuku

POLISI mkoani Shinyanga imezuia maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mjini hapa yaliyotarajiwa kufanyika leo.

 

10 years ago

Mwananchi

Maandamano ya vijana CUF yapigwa marufuku

Licha ya Jumuiya ya vijana wa Chama cha Wananchi (CUF) kusisitiza azma yao ya kuandamana leo, polisi imepiga marufuku maandamano hayo na kusema halitosita kutumia nguvu endapo vijana wa chama hicho watakaidi amri ya kutoandamana.

 

9 years ago

StarTV

Maandamano ya UKAWA Singida yapigwa marufuku

Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano ya kupinga matokeo ya Urais katika uchaguzi mkuu uliofanyika wiki iliyopita yaliyopangwa kufanywa mkoani Singida leo Jumanne na wanachama na wafuasi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA.

Imeelezwa kuwa Maandamano hayo  yanayotarajiwa kuanza saa 4:00 asubuhi na kuishia kwenye Ofisi za wakuu wa Wilaya na mkoa  pia yanalenga kushinikiza kutangzwa kwa Edward Lowasa  wa CHADEMA  kuwa ndiye mshindi wa nafasi wa Urais suala...

 

10 years ago

Habarileo

Polisi yapiga marufuku maandamano Chadema

JESHI la Polisi nchini limepiga marufuku maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyotarajiwa kuanza kufanyika leo katika maeneo mbalimbali nchini. Jeshi hilo limeonya kuwa maandamano hayo ni batili na ni kinyume cha sheria.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Polisi wapiga marufuku maandamano ya Lowassa:

Polisi Dar yapiga marufuku ziaza za ‘mitaani’ za wagombea Urais: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limepiga marufuku wagombea Urais wa Tanzania 2015 kufanya mikusanyiko isiyokuwa rasmi kutembelea vituo vya daladala, bodaboda au […]

The post Polisi wapiga marufuku maandamano ya Lowassa: appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

GPL

KOVA APIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA VIJANA WA CUF

Kamishna Kova akizungumza na wanahabari (hawapo pichani)
Wanahabari wakimsikiliza Kamishna Kova (hayupo pichani) KAMISHNA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar e s Salaam, Suleiman Kova leo ametoa tamko mbele ya wanahabari juu ya maandamano ya vijana wa Chama cha…

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi yapiga marufuku maandamano, mikutano ya kisiasa nchini

Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano na mikutano ya vyama vya siasa iliyokuwa imepangwa kufanyika kwa nyakati tofauti kwa madai ya kuwepo na hali tete ya  kisiasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani