Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAHLISO WAPINGA MAANDAMANO YALIYOPANGWA KUFANYIKA KESHO IJUMAA

Makamu Mwenyekiti wa TAHLISO Abdi Mahmoud Abdi akizungumza na Waandishi wa habari leo katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar kuhusu kukanusha Taarifa ya Maandamano yaliyopangwa kufanyika hapo kesho. Picha na Makame MshengaNa Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu TAHLISO limekanusha Taarifa zilizosambazwa katika Vyombo vya habari na Mitandao ya Kijamii juu ya kuwepo wa maandamano ya Wanafunzi wa Vyuo vikuu yanayotarajiwa kufanyika hapo kesho...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LAZUIA MAANDAMANO YALIYOPANGWA NA CHADEMA

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP), Emmanuel G. Lukula. Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limetoa tamko la kuzuia maandamano ya Chama cha CHADEMA ya tarehe 18/09/2014 na kuwataka wananchi kuyapuuza. Akiongea na waandishi wa habari, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi wa Polisi EMMANUEL G. LUKULA (ACP) alisema kuwa;...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LAZUIA MAANDAMANO YALIYOPANGWA NA CHADEMA

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP) EMMANUEL G. LUKULANa Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma.Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limetoa tamko la kuzuia maandamano ya Chama cha CHADEMA hapo tarehe 18/09/2014 na kuwataka wananchi kuyapuuza.Akiongea na waandishi wa habari, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi wa Polisi EMMANUEL G. LUKULA (ACP) alisema kuwa; Kufuatia Viongozi wa CHADEMA kutaka kufanya maandamano kuelekea viwanja...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wapinga marufuku ya maandamano Nigeria

Watu wanaounga mkono maandamano ya kushinikiza serikali kuwanusuru wasichana waliotekwa nyara wamepinga marufuku ya maandamano mjini Abuja.

 

10 years ago

BBCSwahili

Maandamano dhidi ya shambulizi kufanyika

Zaidi ya watu milioni moja wanatarajiwa kushiriki kwenye matembezi katika mji mkuu wa ufaransa hii leo kupinga mauaji ya watu 17.

 

10 years ago

BBCSwahili

Maandamano makubwa kufanyika Mexico

Wananchi wa Mexico wamejiandaa kufanya maandamano makubwa kupinga kupotea kwa wanafunzi zaidi ya arobaini

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Dewji Blog

Tamasha kubwa la taarab ‘Usiku wa Mswahili’ kufanyika Ijumaa hii ya Aprili 24

ijumaa hii

Wazazi, walezi wanajamii na wadau mbalimbali wanatarajiwa kukutana kwenye tamasha maalum la taarab lililopewa jina la ‘Usiku wa Mswahili’  kwa lengo la kukusanya fedha za kuchangia ununuzi wa madawati, linatarajiwa kufanyika usiku wa Ijumaa ya Aprili 24, katika shule ya Tambaza, iliyopo Ilala jijii Dar es Salaam.

“Karibuni katika  Usiku wa Mswahili Ijumaa hii ya Aprili 24 ndani ya ukumbi wa Tambaza, kuanzia saa moja usiku. kwa kiingilio cha sh 10,000 na sh 20,000 kwa VIP”.

Aidha, mwagwiji...

 

10 years ago

Dewji Blog

Top 3 ya Tuzo za Watu 2015 yatoka, kufanyika Ijumaa, May 22, Hyatt Regency Hotel

square_with_sponsors-1

Tuzo za Watu 2015 zinatarajiwa kufanyika Ijumaa ya May 22 kwenye hoteli ya Hyatt Regency (The Kilimanjaro) jijini Dar es Salaam.  Tuzo za mwaka huu zinahusisha vipengele 13 vilivyopo kwenye muziki, filamu, redio, televisheni na blogs.

Washindi watapatikana kwa asilimia 100 ya kura za wananchi zinazoendelea katika hatua hii ambapo wamebaki washiriki watatu katika kila kipengele.

Kila mshindi atapokea tuzo na zawadi ya fedha taslimu shilingi milioni moja.

Pamoja na utoaji wa tuzo hizo, hafla...

 

10 years ago

Habarileo

Tuzo za BBLA kufanyika kesho

TUZO za Bodi za wakurugenzi yenye uongozi bora katika sekta ya kibenki na bima zijulikanazo kama Best Board Leadership (BBLA) zinatarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam kesho, ambapo taasisi saba zitashiriki katika tuzo hizo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani