Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Top 3 ya Tuzo za Watu 2015 yatoka, kufanyika Ijumaa, May 22, Hyatt Regency Hotel

square_with_sponsors-1

Tuzo za Watu 2015 zinatarajiwa kufanyika Ijumaa ya May 22 kwenye hoteli ya Hyatt Regency (The Kilimanjaro) jijini Dar es Salaam.  Tuzo za mwaka huu zinahusisha vipengele 13 vilivyopo kwenye muziki, filamu, redio, televisheni na blogs.

Washindi watapatikana kwa asilimia 100 ya kura za wananchi zinazoendelea katika hatua hii ambapo wamebaki washiriki watatu katika kila kipengele.

Kila mshindi atapokea tuzo na zawadi ya fedha taslimu shilingi milioni moja.

Pamoja na utoaji wa tuzo hizo, hafla...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TICKETS ON SALE NOW FOR THE ST. ANDREW'S BALL @ the Hyatt Regency Hotel in Dar es salaam

Book your tickets NOW for the St Andrew's Ball 2015 - tickets sell out fast for this great Scottish event -Held at the Hyatt Regency Hotel in Dar es salaam on  Saturday  28th November this year from 6.45pm
 
Lots of great food (of course with HAGGIS) with beer, wine and whisky on the table. Our fantastic Scottish Band all the way from Bonny Scotland, Jigging until the wee small hours of the morning. Party on after the Ball at ROUGE Night club in the Hyatt - plus Amazing raffle prizes to be...

 

9 years ago

Dewji Blog

Marciano Fashion Dash kufanyika ndani ya ukumbi wa Regency Park Hotel, Sept 29

regencySaleem Siwila ni mmoja kati ya wadada wenye vipaji vya ku-design mitindo mbalimbali ya mavazi hapa home Tz, ambaye ameona ni vyema kukuandalia Show ili uweze ku-enjoy na wanamitindo kwa pamoja. Hivyo ukiwa kama shabiki wa ukweli unaependa Fashion, basi hii ni habari njema kutoka kwa mwanadada huyo maarufu kwa jina la Saleem Siwila coz anakuletea Fashion Show inayoitwa ‘Marciano Fashion Dash’ itakayo fanyika ndani Regency Park Hotel, chini ya usimamizi wa ‘Hasleem Fashion Design’ 26,...

 

9 years ago

Vijimambo

Coletha Makuala na Sam Mfalila kutoka Nashville, TN (USA) walivyo meremeta siku ya July 18, 2015 Azania Front halafu Hyatt Regency Kilimanjaro, Dar es salaam TZ



Coletha Makuala na Sam Mfalila kutoka Nashville, TN wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa yao iliyofanyika julai 18 2015 katika kanisa la Azania Front, Dar es Salaam Tanzania.

U kodak moment baada ya ndoa

Maarusi, Coletha and Sam wakiwa kwenye nyuso za furaha kwenye reception yao iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hyatt Regency Kilimanjaro, Dar es salaam TZ siku ya July 18, 2015

Coletha akihakikisha kuwa mume wake Sam anapata chakula

U kodak moment hotelini Hyatt Regency Kilimanjaro, Dar es...

 

10 years ago

Bongo5

Sababu za kuchelewa kutangaza majina yaliyoingia kwenye Top 5 ya tuzo za watu 2015

Tunapenda kuwaomba radhi wananchi kwa kushindwa kutangaza majina yaliyoingia kwenye hatua ya tano bora katika vipengele 14 vinavyoshindaniwa kwenye Tuzo za Watu 2015. Hii imetokana na sababu mbalimbali ambazo zimekuwa nje ya uwezo wetu. Sababu hizo ni pamoja na: 1. Zoezi la kukusanya na kuhesabu mapendezo kuwa refu kutokana na wingi wa kura kuliko ilivyotarajiwa […]

 

11 years ago

Dewji Blog

Waliong’ara kwenye red carpet ya “Meremeta na Hassanali” @Hyatt Regency The Kilimanjaro

DSC_0044

Mbunifu nguli wa mitindo Afrika, Mustafa Hassanali akiwa kwenye red carpet na Balozi wa Finland nchini Mhe Sinikka Antila (kulia) kwenye halfa ya kusheherekea miaka 15 ya mafanikio kwenye sekta ya mitindo iliyoambatana na uzinduzi wa aina mpya ya mavazi aliyoipa jina la “Meremeta na Hassanali” sambamba na huduma mpya ya wateja wa Airtel na mashabiki wa mitindo kuwa karibu na Mustafa Hassanali pamoja na kupata taarifa zake mbalimbali kwa kupiga *148*82# ambapo mteja atatozwa shilingi 90 za...

 

9 years ago

Vijimambo

TAASISI YA WANAWAKE WAHASIBU TANZANIA KUZINDULIWA HOTELI YA HYATT REGENCY KILIMANJARO DAR ES SALAAM KESHO

 Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake Wahasibu Tanzania (TAWCA), Neema Kiure- Mssusa (wa pili kulia), akiwaonesha waandishi wa habari cheti cha usajili wa taasisi hiyo Dar es Salaam leo asubuhi, wakati wa mkutano uliohusu uzinduzi wa taasisi hiyo utakaofanyika leo Hoteli ya Hyatt Regence (Kilimanjaro Hoteli). Kutoka kulia ni Mratibu wa Taasisi hiyo, Rose Majuva, Mwenyekiti, Bahati Geuzye na mmoja wa waanzilishi wa taasisi hiyo, Anna Shanalingingigwa. Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Kwa mara ya kwanza Hyatt Regency ya Hong Kong yatoa ofa ya smartphone kwa wageni wake

hyatt-regency-tsim-sha-tsui-1

Na Mwandishi Wetu

Kwa mara ya kwanza hoteli maarufu duniani ya Hyatt Regency ya Hong Kong imetoa simu aina ya smartphone bure kwa wageni wake waliopanga kwenye hoteli hiyo.

Hoteli hiyo ya Hyatt Regency pia ilitoa viburutisho mbalimbali kama vile chocolates na mvinyo wa bure pamoja na simu aina ya smartphone katika vyumba vyake vyote 381 ili jitihada za kuongeza uzoefu kwa wasafiri na watalii kutoka sehemu mbalimbali duniani.

hyatt-regency-tsim-sha-tsui-smartphone

Katika kuwapa smartphone wateja wake za bure ni katika kutoa...

 

10 years ago

Vijimambo

TOP 3 YA TUZO ZA WATU

Top 3 ya Tuzo za Watu 2015 yatoka, kufanyika Ijumaa, May 22, Hyatt Regency Hotel
Tuzo za Watu 2015 zinatarajiwa kufanyika Ijumaa ya May 22 kwenye hoteli ya Hyatt Regency (The Kilimanjaro) jijini Dar es Salaam.  Tuzo za mwaka huu zinahusisha vipengele 13 vilivyopo kwenye muziki, filamu, redio, televisheni na blogs.
Washindi watapatikana kwa asilimia 100 ya kura za wananchi zinazoendelea katika hatua hii ambapo wamebaki washiriki watatu katika kila kipengele.
Kila mshindi atapokea tuzo na zawadi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani