Coletha Makuala na Sam Mfalila kutoka Nashville, TN (USA) walivyo meremeta siku ya July 18, 2015 Azania Front halafu Hyatt Regency Kilimanjaro, Dar es salaam TZ
Coletha Makuala na Sam Mfalila kutoka Nashville, TN wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa yao iliyofanyika julai 18 2015 katika kanisa la Azania Front, Dar es Salaam Tanzania.U kodak moment baada ya ndoa
Maarusi, Coletha and Sam wakiwa kwenye nyuso za furaha kwenye reception yao iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hyatt Regency Kilimanjaro, Dar es salaam TZ siku ya July 18, 2015
Coletha akihakikisha kuwa mume wake Sam anapata chakula
U kodak moment hotelini Hyatt Regency Kilimanjaro, Dar es...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboKitchen Party ya Coletha Makuala ilivyofana Millennium Towers, Dar es Salaam, Tanzania siku ya June 28, 2015
Coletha akiwa tayari kukata keki kwa furaha
Coletha akiwashukuru ndugu na jamaa kwa kufanikisha sherehe yake ya Kitchen Party livyofana Millennium Towers, Dar es Salaam, Tanzania siku ya June 28, 2015
Mtoto kwa mama hakui
Kwa picha zaidi bofya Read More
9 years ago
VijimamboSend off ya Coletha Makuala ilivyofana Virgimark Hotel, mjini Shinyanga, Tanzania siku ya July 4, 2015
Coletha Makuala na Sam Mfalila waishio Nashville, Tennessee (USA) wakiingia ukumbini kwenye Sendoff yao iyofanyika tarehe nne mwezi wa saba 2015 katika ukumbi wa Virgimark Hotel, Shinyanga, Tanzania
Coletha akiwa amepozi na mpambe wake ambaye pia ni mdogo wake, Jacklin Kahangwa baada ya kuingia ukumbini kwenye sherehe ya send off yake
Coletha akpata u kodak moment na mumewe mtarajiwa bwana Sam Mfalila ambao kwa sasa wote wanaishi...
11 years ago
Dewji Blog12 Aug
Waliong’ara kwenye red carpet ya “Meremeta na Hassanali” @Hyatt Regency The Kilimanjaro
Mbunifu nguli wa mitindo Afrika, Mustafa Hassanali akiwa kwenye red carpet na Balozi wa Finland nchini Mhe Sinikka Antila (kulia) kwenye halfa ya kusheherekea miaka 15 ya mafanikio kwenye sekta ya mitindo iliyoambatana na uzinduzi wa aina mpya ya mavazi aliyoipa jina la “Meremeta na Hassanali” sambamba na huduma mpya ya wateja wa Airtel na mashabiki wa mitindo kuwa karibu na Mustafa Hassanali pamoja na kupata taarifa zake mbalimbali kwa kupiga *148*82# ambapo mteja atatozwa shilingi 90 za...
9 years ago
VijimamboTAASISI YA WANAWAKE WAHASIBU TANZANIA KUZINDULIWA HOTELI YA HYATT REGENCY KILIMANJARO DAR ES SALAAM KESHO
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-hlNK27egHQY/VjeY2nIRvnI/AAAAAAAID88/0rKa_B9qr6w/s72-c/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
TICKETS ON SALE NOW FOR THE ST. ANDREW'S BALL @ the Hyatt Regency Hotel in Dar es salaam
![](http://3.bp.blogspot.com/-hlNK27egHQY/VjeY2nIRvnI/AAAAAAAID88/0rKa_B9qr6w/s640/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
Lots of great food (of course with HAGGIS) with beer, wine and whisky on the table. Our fantastic Scottish Band all the way from Bonny Scotland, Jigging until the wee small hours of the morning. Party on after the Ball at ROUGE Night club in the Hyatt - plus Amazing raffle prizes to be...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/4f_wVpaWQig/default.jpg)
10 years ago
MichuziKILIMANJARO WALIVYO SHEREHEKEA SIKU YA SHERIA NCHINI 2015.
10 years ago
Dewji Blog13 May
Top 3 ya Tuzo za Watu 2015 yatoka, kufanyika Ijumaa, May 22, Hyatt Regency Hotel
Tuzo za Watu 2015 zinatarajiwa kufanyika Ijumaa ya May 22 kwenye hoteli ya Hyatt Regency (The Kilimanjaro) jijini Dar es Salaam. Tuzo za mwaka huu zinahusisha vipengele 13 vilivyopo kwenye muziki, filamu, redio, televisheni na blogs.
Washindi watapatikana kwa asilimia 100 ya kura za wananchi zinazoendelea katika hatua hii ambapo wamebaki washiriki watatu katika kila kipengele.
Kila mshindi atapokea tuzo na zawadi ya fedha taslimu shilingi milioni moja.
Pamoja na utoaji wa tuzo hizo, hafla...
11 years ago
MichuziMSD YASHIRIKI MAONESHO YA KITAIFA YA SIKU YA MALARIA DUNIANI KATIKA HOTELI YA HYATT JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10