Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KILIMANJARO WALIVYO SHEREHEKEA SIKU YA SHERIA NCHINI 2015.

Baadhi ya Wanasheria ,Mahakimu na watumishi wa Mahakama wakiwa katika maandamano hayo yaliyopita katika maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi.Jaji Mfawidhi wa Mahakama kuu kanda ya Moshi  Mhe. Alishaeli Sumari akiongoza wageni wengine kuelekea katika viunga vya mahakama kuu kanda ya Moshi kwa ajili ya kukagua gwaride la heshima. Askari wakiwa timamu kwa ajili ya gwaride la heshima mbele ya jaji Mfawidhi wa Mahakama kuu kanda ya Moshi ,Alishaeli Sumari.(hayuko pichani)Jaji Mfawidhi wa Mahakama...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Coletha Makuala na Sam Mfalila kutoka Nashville, TN (USA) walivyo meremeta siku ya July 18, 2015 Azania Front halafu Hyatt Regency Kilimanjaro, Dar es salaam TZ



Coletha Makuala na Sam Mfalila kutoka Nashville, TN wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa yao iliyofanyika julai 18 2015 katika kanisa la Azania Front, Dar es Salaam Tanzania.

U kodak moment baada ya ndoa

Maarusi, Coletha and Sam wakiwa kwenye nyuso za furaha kwenye reception yao iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hyatt Regency Kilimanjaro, Dar es salaam TZ siku ya July 18, 2015

Coletha akihakikisha kuwa mume wake Sam anapata chakula

U kodak moment hotelini Hyatt Regency Kilimanjaro, Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

Maadhimisho ya Siku ya sheria nchini yalivyofana mjini Moshi

Jaji Aisha Nyerere akiingia katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake katika Siku ya Shera. Kikosi cha kutuliza fujo,kikiwa tayari kwa ukaguzi . Jaji Aisha Nyerere akikagua gwaride maalumu katika viwanja vya mahakama kuu mjini Moshi.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGOZA SHEREHE ZA SIKU YA SHERIA NCHINI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za Siku ya Sherianchini katika viwanja wa Mahakama barabara ya Chimala jijini Dar essalaam leo February 4, 2015

PICHA NA IKULU

 

10 years ago

Michuzi

WAISLAM WA STOCKHOLM WALIVYO JUMUIKA NA WATANZANIA WENZAO KWENYE SIKU KUU YA EID

 Balozi wa Tanzania nchini Swedeni Mhe. Dora Msechu (wa pili kulia) akiwa na wenyeji wake kwenye sherehe za Eid el Fitr  jana kwenye ukumbi wa Huddinge jijini Stockholm ambako waislamu walijumuika na Watanzania wenzao kusherehekea mwisho wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu kwa kupata chakula cha  pamoja. Keki ya Eid na mapochopocho mengine Bi Aisha Waziri akikata keki ya Eid Wageni waalikwa wakijumuika kwa chakula cha Eid.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

9 years ago

Michuzi

Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni Nchini Na.1 ya Mwaka 2015 (The Non - Citizens (Employment Regulation) Act).

  1.         Mwezi Machi, 2015, Bunge la 10 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Lilipitisha  Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni Nchini Na.1 ya Mwaka 2015 (The Non - Citizens (Employment Regulation) Act). Sheria hii ilisainiwa na Mheshimiwa Rais mwezi Mei, 2015 na imetangazwa kuanza kutumika rasmi tangu tarehe 15/09/2015 kupitia Gazeti la Serikali Na. 406 la mwaka 2015.


2.          Sheria hii inaanzisha Mamlaka moja ya utoaji wa vibali vya ajira kwa wageni

 na Mamlaka hiyo ni Kamishna wa Kazi. ...

 

9 years ago

Michuzi

MBIO ZA KILIMANJARO HEALTH RUN 2015 ZAFANYIKA MKOANI KILIMANJARO.

Washiriki wa Mbio za Kilimanjaro Health Run KM 10 wakianza mbio hizo katika eneo la nje ya uwanja wa Majengo mjini Moshi.  Washiriki wa Mbio za Km 5 zilizowashirikisha zaidi watoto wanao lelewa katka ituo mbalimbali mjin Moshi. Mshindi wa mbio za KM 10 kwa wanaume, Lameck Msiwa akimaliza mbio katika uwanja wa Majengo mjini Moshi.Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA MKOA WA RUKWA ENG. STELLA MANYANYA AONGOZA SIKU YA SHERIA NCHINI MKOANI RUKWA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya kulia akihutubia katika maadhimisho ya siku ya sheria nchini Mkoni Rukwa tarehe 04/02/2015 katika viwanja vya Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga. Kaulimbiu ya maaadhimisho hayo ikiwa "Fursa ya kupata haki: Wajibu wa Serikali, Mahakama na Wadau". Katika hotuba yake hiyo alisema ipo haja kubwa kwa Serikali kubadili sheria zake ili lugha ya mahakamani na hukumu ziandikwe kwa kiswahili. Kwa upande wa wananchi aliwaasa kujiepusha na tabia ya kujichukulia...

 

10 years ago

Michuzi

Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini watoa tamko didi ya muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao,2015

 Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini, Tanzania Bloggers Network (TBN) tunamuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kutumia mamlaka yake vyema kwa kutokupitisha muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 unaokandamiza uhuru wa mawasiliano mitandaoni.  Muswada wa sheria ya makosa ya Mtandaoni unaainisha makosa yanayohusiana na matumizi ya mfumo wa kompyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, na kuweka utaratibu wa upelelezi, ukusanyaji na matumizi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani