Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maadhimisho ya Siku ya sheria nchini yalivyofana mjini Moshi

Jaji Aisha Nyerere akiingia katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake katika Siku ya Shera. Kikosi cha kutuliza fujo,kikiwa tayari kwa ukaguzi . Jaji Aisha Nyerere akikagua gwaride maalumu katika viwanja vya mahakama kuu mjini Moshi.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA WAKUNGA DUNIANI YALIVYOFANA MJINI MUSOMA

DSC_0056Baadhi ya wanafunzi wa shule ya uuguzi mkoani Mara wakijiaanda kuanza maandamano kutoka Hospitali Hospitali ya Rufaa mkoa wa Mara wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa yamefanyika wilayani Musoma.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).DSC_0060Baadhi ya wanafunzi wa shule ya uuguzi wilayani Musoma wakiwa wamekusanyika nje ya Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mara kwa ajili ya maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa yamefanyika...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA ZANZIBAR YAFANYIKA LEO


sh1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akionesha kitabu cha Mwaka wa Sheria kama ishara ya uzinduzi wa kitabu hicho samba samba na maadhimishoya siku ya Sheria Zanzibar(kulia) Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu,Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mohamed Othman Chande (kushoto) na Waziri wa Katiba na Sheria Abubakar Khamis Bakary(wa pili kushoto). sh9 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE MGENI RASMI MAADHIMISHO SIKU YA SHERIA

Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Othman Chande (Kulia) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini mwaka 2015. Maadhimisho hayo yanaongozwa na maudhui yasemayo “ Fursa ya kupata haki: wajibu wa Serikali, Mahakama na wadau”. Kushoto ni Mh. Hussein Kattanga, Mtendaji Mkuu wa Mahakama. Msajili Mkuu wa Mahakama, Ignas Kitus (kulia) akizungumza akifafanua jambo wakati Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Othman Chande alipokutana na waandishi wa habari kuzungumzia...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AHUDHURIA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAKUNGA MJINI MUSOMA

Waziri mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wanawake waliofika kwenye viwanja vya mukendo mjini Musoma kuhudhuria Maadhimisho ya ya siku ya wakunga dunia yaliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mukendo, Musoma Mei 6, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akishuhudia wakati muuguzi, Naomi Sarali alipompima mapigo ya moyo, Mwajuma Juma ikiwa ni moja ya madhimisho ya siku ya wakunga duniani yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mukendo mjiniMusoma Mei 5, 2015.Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE MGENI RASMI KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA

Rais Prof. Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akitoa salamu zake kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman akitoa hotuba yake katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.
PICHA ZAIDI ZINAKUJIA HIVI PUNDE

 

9 years ago

Vijimambo

CHADEMA MOSHI MJINI WATANGAZA ILANI YA UCHAGUZI YA JIMBO LA MOSHI MJINI.

Meneja Kampeni wa mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini kupitia Chadema na UKAWA,Jafary Michael ,Bw Raymond Mboya akifanya utamburisho mbele ya wanahabari wa mkutano wa mgombea huyo na wanahabari uliofanyika katika Hotel ya Keys.Waandishi wa Habari mkoa wa Kilimanjaro ambao ni wawakilishi wa vyombo mbalimbali vya Habari nchini wakiwa katika kikao na mgombea Ubunge jimbo la Moshi mjini kupitia Chadema na UKAWA,Jafary Michael.
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini aliyemaliza muda wake ,Philemoni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani