Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA NCHINI KWENDA SAMBAMABA NA MAONYESHO YA SHERIA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI, ALI HASSAN MWINYI AZINDUA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA NCHINI

 Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (wa pili kushoto) akiongozana na jaji mkuu wa Tanzania, Mohamed Othaman Chande  (watatu kushoto) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki (wa kwanza kushoto), Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu, na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Ally LILA  wakiwa katika matembezi ya kuadhimisha wiki ya sheria nchini matembezi hayo yalianzia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kuishia katika viwanja vya mnazi mmoja jijini...

 

11 years ago

Michuzi

Maadhimisho ya Siku ya sheria nchini yalivyofana mjini Moshi

Jaji Aisha Nyerere akiingia katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake katika Siku ya Shera. Kikosi cha kutuliza fujo,kikiwa tayari kwa ukaguzi . Jaji Aisha Nyerere akikagua gwaride maalumu katika viwanja vya mahakama kuu mjini Moshi.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZINGIRA YATOA MSISITIZO WA USIMAMIZI WA SHERIA ZA UHIFADHI WA MAZINGIRA

Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema ambaye alimwakilisha mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki (katikati) akipokea maandamano ya wadau mbalimbali wakati wa maadhimisho ya kilele cha wiki ya mazingira jijini Dar es salaam.Kulia ni Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa.  Baadhi ya wananchi na wanafunzi kutoka shule mbalimbali za jiji la Dar es salaam wakiwa kwenye maandamano huku wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe mbalimbali wakati wa kilele cha wiki ya mazingira...

 

10 years ago

Michuzi

SHERIA NGOWI AFUNIKA KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YA 'MERCEDES BENZ FASHION WEEK AFRICA 2014' NCHINI AFRIKA KUSINI

Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014016Mbunifu wa kimataifa wa mavazi kutoka Tanzania, Sheria Ngowi amedhihirisha kuwa yeye ni nguli katika ubunifu baada ya kufunika katika onyesho la mavazi la kimataifa lijulikanalo kama Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014 lililofanyika mwishoni mwa wiki mjini Johannesburg, Afrika Kusini.
Ngowi alionyesha mkusanyiko wa mavazi aliyoyaita 'PRIDE' yaani kujivunia, kama moja ya njia za kumuenzi Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere pamoja na viongozi mashuhuri waliopigania uhuru Afrika.
Afrika Kusini...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbunifu Sheria Ngowi afunika katika maonyesho ya mavazi ya ‘Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014′ nchini Afrika Kusini

Na Mwandishi wetu

Mbunifu wa kimataifa wa mavazi kutoka Tanzania, Sheria Ngowi amedhihirisha kuwa yeye ni nguli katika ubunifu baada ya kufinika katika onyesho la mavazi la kimataifa lijulikanalo kama Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014 lililofanyika juzi Ijumaa mjini Johannesburg, Afrika Kusini.

Ngowi alionyesha mkusanyiko wa mavazi aliyoyaita ‘PRIDE’ yaani kujivunia,  kama moja ya njia za kumuenzi Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere pamoja na viongozi mashuhuri waliopigania uhuru...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA SHERIA NGOWI AFUNIKA KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YA 'MERCEDES BENZ FASHION WEEK AFRICA 2014' NCHINI AFRIKA KUSINI

Na Mwandishi wetuMbunifu wa kimataifa wa mavazi kutoka Tanzania, Sheria Ngowi amedhihirisha kuwa yeye ni nguli katika ubunifu baada ya kufinika katika onyesho la mavazi la kimataifa lijulikanalo kama Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014 lililofanyika juzi Ijumaa mjini Johannesburg, Afrika Kusini.Ngowi alionyesha mkusanyiko wa mavazi aliyoyaita 'PRIDE' yaani kujivunia, kama moja ya njia za kumuenzi Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere pamoja na viongozi mashuhuri waliopigania uhuru...

 

10 years ago

Michuzi

UTT ILIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA NA UWEKEZAJI 2014 PAMOJA NA MAONYESHO YA WAHANDISI

Baadhi ya wakazi wa jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake wakiwa katika banda la Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT) Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Kifedha na Uwekezaji 2014, yaliyofunguliwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.Ofisa Uendeshaji wa UTT, Justine Joseph akitoa maelezo kuhusu fai anayoweza kupata mwanachama  mara baada ya kujiunga na mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania.  Watu mbalimbali wakisoma vipeperushi vyenye maelezo ya huduma za UTT ili kujua faida za...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA ZANZIBAR YAFANYIKA LEO


sh1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akionesha kitabu cha Mwaka wa Sheria kama ishara ya uzinduzi wa kitabu hicho samba samba na maadhimishoya siku ya Sheria Zanzibar(kulia) Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu,Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mohamed Othman Chande (kushoto) na Waziri wa Katiba na Sheria Abubakar Khamis Bakary(wa pili kushoto). sh9 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani