Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA ZANZIBAR YAFANYIKA LEO


sh1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akionesha kitabu cha Mwaka wa Sheria kama ishara ya uzinduzi wa kitabu hicho samba samba na maadhimishoya siku ya Sheria Zanzibar(kulia) Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu,Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mohamed Othman Chande (kushoto) na Waziri wa Katiba na Sheria Abubakar Khamis Bakary(wa pili kushoto). sh9 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI YAFANYIKA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein kushoto anaepunga mkono akiyapokea maandamano ya Wafanyakazi wa Sekta mbalimbali katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day) yaliofanyika Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar. Mashirika mbalimbali yakipita mbele ya Mgeni Rasmi hayupo pichani katika Maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani (May Day) yaliofanyika Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar. Wafanyakazi wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo wakipita mbele ya Mgeni rasmi...

 

10 years ago

Michuzi

Maadhimisho ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi ya TRA yafanyika leo Jijini Dar

Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi,Waziri Kiongozi (Mstaafu),Mh. Shamsi Vuai Nahodha akitoa hotuba yake katika kilele cha Maadhimisho hayo yaliyofanyika leo Novemba 21,2014 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu J.K. Nyerere,Jijini Dar es Salaam.Picha zote na Othman Michuzi.Naibu Waziri wa Fedha,Mh. Adam Malima akitoa nasaha zake kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati wa Maadhimisho ya nane ya Siku ya Mlipa Kodi yenye kauli mbiu isemayo "Risiti ni...

 

10 years ago

Michuzi

Maadhimisho ya siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na mgongo wazi duniani yafanyika leo jijini Dar es salaam.

 Mlezi wa Chama cha Wazazi wenye Watoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo Wazi (ASBHAT) Mama Dorcas Membe akiteta jambo na moja ya mtoto mwenye tatizo la kichwa kikubwa anayepata huduma Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI).

 Mlezi wa Chama cha Wazazi wenye Watoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo Wazi (ASBHAT) Mama Dorcas Membe, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dkt. Othmani Kiloloma(Kulia), Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA BAHARI ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Ali Mohamed Shein mwenye tai nyekundu akimsikiliza Mkurugenzi mkuu wa wa Mamlaka ya kusimamiaUvuviwa Bahari kuu Tanzania Zahor Kassim Mohammed akielezea maswali mbalimbali kuhusiana na Usimamizi wa Uvuvi baharini katika Maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani huko Bwawani Mjini Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Ali Mohamed Shein wakwanza kushoto akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Bandari Kapten Ally...

 

10 years ago

Michuzi

Maadhimisho ya SIKU YA AFRIKA yafanyika Washington DC

Balozi wa Misri nchini Marekani Mhe. Mohamed Tawfik akiongea kufungua sherehe ya African Union iliyofanyika siku ya Alhamisi May 28, 2015 katika hotel ya JW Marriott, Washington DCBalozi wa Morocco nchini Marekani Mhe. Rashad Bouhlal akiongea machahce.Msemaji mkuu wa sherehe ya siku ya Afrika Mhe. Donald Tetelbaum.Mchungaji Jesse Jackson akiongea kwenye sherehe ya siku ya Afrika.Mambalozi wa Afrika nchini Marekani wakiwa katika picha ya pamojaWageni waalikwa wakifuatilia hotuba.
HABARI ZAIDI...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI YAFANYIKA MKOANI DODOMA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi David Misime akiongea jambo wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili kwa wanawake na watoto yaliyofanyika Bwalo la polisi Dodoma.
 Afisa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Dodoma Bi. Amina Mfafaki akifafanua jambo wakati alipokuwa akiongea wakati wa kufunga maadhimisho ya siku 16 ya kupinga ukatili kwa wanawake na watoto katika ukumbi wa Bwalo la polisi Dodoma.


BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

GPL

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU YAFANYIKA IRINGA

Waziri Lukuvi akimkabidhi mwanafunzi wa shule ya msingi Kipera Rahel Mwikonzi cheti cha ushiriki mzuri wa siku ya walemavu. Mwenyekiti wa baraza la watu wenye ulemavu Prof Edward Bagandashwa.…

 

11 years ago

Michuzi

Maadhimisho ya siku ya walinda Amani ya Umoja wa Mataifa yafanyika Dar

Waziri wa Ulinzi Dkt. Hussein Mwinyi akihotubia katika maadhimisho ya siku ya walinda Amani wa Umoja wa Mataifa yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
Mabalozi wakimsikiliza Waziri Mwinyi (hayupo pichani). Dkt. Mwinyi akiweka Shada katika mnara wa Mashujaa kuashiria kuwakumbuka walindaamani waliopoteza maisha duniani kote. Mabalozi mbalimbali wanao ziwakilisha Nchi zao hapa nchin nao walihudhuria maadhimisho hayo Waziri waulinzi Dkt. Mwinyi akiagana na mabalozi...

 

10 years ago

GPL

MAADHIMISHO YA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU DUNIANI YAFANYIKA JIJINI DAR

 Blass Band ya Jeshi la Polisi ikiongoza maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani  na Miaka 66 ya Tamko la Kimataifa la Haki za Binadamu. Maandamano hayo yaliyoanzia Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima hadi Makumbusho ya Taifa  Dar es Salaam leo asubuhi  yaliandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC).… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani