Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kitchen Party ya Coletha Makuala ilivyofana Millennium Towers, Dar es Salaam, Tanzania siku ya June 28, 2015

 Coletha Makuala akipozi tayari kwa kupata u kodak moment kwenye kitchen Party ya kumuaga iliyofanyika Millennium Towers, Dar es Salaam, Tanzania siku ya June 28, 2015
Coletha akiwa tayari kukata keki kwa furaha

Coletha akiwashukuru ndugu na jamaa kwa kufanikisha sherehe yake ya Kitchen Party livyofana Millennium Towers, Dar es Salaam, Tanzania siku ya June 28, 2015

Mtoto kwa mama hakui
Kwa picha zaidi bofya Read More




































































Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Send off ya Coletha Makuala ilivyofana Virgimark Hotel, mjini Shinyanga, Tanzania siku ya July 4, 2015



 Coletha Makuala na Sam Mfalila waishio Nashville,  Tennessee (USA) wakiingia ukumbini kwenye Sendoff yao iyofanyika tarehe nne mwezi wa saba 2015 katika ukumbi wa Virgimark Hotel, Shinyanga, Tanzania
Coletha akiwa amepozi na mpambe wake ambaye pia ni mdogo wake, Jacklin Kahangwa baada ya kuingia ukumbini kwenye sherehe ya send off yake

Wazazi wa Bibi harusi mtarajiwa wakipongeza mwanao
Coletha akpata u kodak moment na mumewe mtarajiwa bwana Sam Mfalila ambao kwa sasa wote wanaishi...

 

9 years ago

Vijimambo

Coletha Makuala na Sam Mfalila kutoka Nashville, TN (USA) walivyo meremeta siku ya July 18, 2015 Azania Front halafu Hyatt Regency Kilimanjaro, Dar es salaam TZ



Coletha Makuala na Sam Mfalila kutoka Nashville, TN wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa yao iliyofanyika julai 18 2015 katika kanisa la Azania Front, Dar es Salaam Tanzania.

U kodak moment baada ya ndoa

Maarusi, Coletha and Sam wakiwa kwenye nyuso za furaha kwenye reception yao iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hyatt Regency Kilimanjaro, Dar es salaam TZ siku ya July 18, 2015

Coletha akihakikisha kuwa mume wake Sam anapata chakula

U kodak moment hotelini Hyatt Regency Kilimanjaro, Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM YACHANGIA DAMU KUADHIMISHA SIKU YA KUCHANGIA DAMU DUNIANI. DAR ES SALAAM: JUNE 14, 2015

 Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania  Bi. Ilakiza Hezwa (kulia) akichangia damu sambamba na wafanyakazi wenzie waliojitokeza makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya uchangiaji damu duniani .Kushoto ni Ofisa wa Mpango wa taifa wa damu salama (NBTS) Bw. Peter Chami. Mkuu wa kitengo Uendeshaji na teknolojia Bw. Hamza Mohamed (kulia) akipima shinikizo la damu kabla ya kuungana na wafanyakazi wenzie wa benki hiyo...

 

11 years ago

Michuzi

RUSSELL HOBBS OPENS THE WORLD’S FIRST EXCLUSIVE CONCEPT STORE AT VIVA TOWERS IN DAR ES SALAAM, TANZANIA;

Russell Hobbs, today, launched its Tanzanian distribution outlet at Viva Towers Dar es salaam. Russell Hobbs, the number one small appliances brand in the United Kingdom, is a brand that is known for its quality and unique functional design.  It is strong in all the categories in which it operates, such as beverage, cooking, food preparation, house wares, personal care and others. It is therefore able to offer a quality, branded family of products which other competitors are not always able...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kitchen Party ya Dr. Haika Mhando yafunika Dar

img_0794

Bi. harusi mtarajiwa Dr.Haika Mhando akiwa tayari kuingia ukumbini katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa Banora jijini Dar es salaam Jumapili Septemba 13,2014.

img_0643

Mama mzaa chema.

img_0723-copy

Dada wa Bi. harusi Neema Mhando.

img_0625

Dada wa Bi harusi Dr.Nandera Mhando.

img_0729-copy

Dada wa Bi.harusi Mchungaji Rebecca Mhando.

img_0731-copy

Dada wa Bi. harusi Netiwe Mhando.

img_0703

Dada wa Bi. harusi Empress Elinita Mhando.

img_0645

Mc wa shughuli Mary Mwanyato.

img_0786

Mambo ya wanakamati. Kwa picha zaidi ungana na sundayshomari.com

 

11 years ago

Michuzi

FAMILIA KITCHEN PARTY GALA NDANI YA JIJI LA DAR

Baada ya Dodoma na Mwanza,sasa Familia Kitchen Party Gala inahamia Dar es Salaam. Ni Jumapili hii tarehe 26,ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia saa sita mchana. Wazungumzaji ni Aunt Sadaka,Mama Victor na kaka Chris Mauki.. Burudani kabambe kutoka kwa Malkia Khadija Kopa,Mwasiti na Shaa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani