Marciano Fashion Dash kufanyika ndani ya ukumbi wa Regency Park Hotel, Sept 29
Saleem Siwila ni mmoja kati ya wadada wenye vipaji vya ku-design mitindo mbalimbali ya mavazi hapa home Tz, ambaye ameona ni vyema kukuandalia Show ili uweze ku-enjoy na wanamitindo kwa pamoja. Hivyo ukiwa kama shabiki wa ukweli unaependa Fashion, basi hii ni habari njema kutoka kwa mwanadada huyo maarufu kwa jina la Saleem Siwila coz anakuletea Fashion Show inayoitwa ‘Marciano Fashion Dash’ itakayo fanyika ndani Regency Park Hotel, chini ya usimamizi wa ‘Hasleem Fashion Design’ 26,...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi27 Aug
SANAA FASHION SHOW KUFANYIKA KESHO NDANI YA UKUMBI WA MBEZI GARDEN HOTEL
![image4](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/08/image4.jpg)
Akizungumza na mtandao huu Meneja Mradi wa Crown River Fame, Mr. Rahul anasema tayari taratibu...
10 years ago
Dewji Blog13 May
Top 3 ya Tuzo za Watu 2015 yatoka, kufanyika Ijumaa, May 22, Hyatt Regency Hotel
Tuzo za Watu 2015 zinatarajiwa kufanyika Ijumaa ya May 22 kwenye hoteli ya Hyatt Regency (The Kilimanjaro) jijini Dar es Salaam. Tuzo za mwaka huu zinahusisha vipengele 13 vilivyopo kwenye muziki, filamu, redio, televisheni na blogs.
Washindi watapatikana kwa asilimia 100 ya kura za wananchi zinazoendelea katika hatua hii ambapo wamebaki washiriki watatu katika kila kipengele.
Kila mshindi atapokea tuzo na zawadi ya fedha taslimu shilingi milioni moja.
Pamoja na utoaji wa tuzo hizo, hafla...
10 years ago
Dewji Blog27 Aug
Fainali ya Tanzania Movie Talents (TMT) kufanyika tarehe 30 August 2014 ndani ya ukumbi wa Mlimani City
Mc Pilipili akiongea mbele ya Waandishi wa habari wakati wa Mkutano na Waandishi wa habari kuhusiana na fainali kubwa ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) litakalofanyika tarehe 30 August 2014 katika Ukumbi wa Mlimani City kuanzia Mida ya Saa 7:30 PM (Usiku) huku viingilio vikiwa ni Elfu Hamsini (50,000/=) kwa V.I.P na Elfu thelethini (30,000/=) kwa Kawaida. Wapili Kushoto ni Meneja Mradi TMT Joshua Moshi, Julieth Samson “Kemmy” ambae ni Mwalimu wa Nidhamu na Afisa Uhusiano TMT,...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-hlNK27egHQY/VjeY2nIRvnI/AAAAAAAID88/0rKa_B9qr6w/s72-c/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
TICKETS ON SALE NOW FOR THE ST. ANDREW'S BALL @ the Hyatt Regency Hotel in Dar es salaam
![](http://3.bp.blogspot.com/-hlNK27egHQY/VjeY2nIRvnI/AAAAAAAID88/0rKa_B9qr6w/s640/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
Lots of great food (of course with HAGGIS) with beer, wine and whisky on the table. Our fantastic Scottish Band all the way from Bonny Scotland, Jigging until the wee small hours of the morning. Party on after the Ball at ROUGE Night club in the Hyatt - plus Amazing raffle prizes to be...
10 years ago
Michuzi06 Feb
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-PrLPybasxJw/VOsab71AAYI/AAAAAAAAscA/Jl8O4YIDzjQ/s72-c/10386934_828991617161297_1265181723487925171_o.jpg)
Yamoto Band ndani ya Royal Regency, UK London
![](http://4.bp.blogspot.com/-PrLPybasxJw/VOsab71AAYI/AAAAAAAAscA/Jl8O4YIDzjQ/s1600/10386934_828991617161297_1265181723487925171_o.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-kes4WbNFjiU/VOsasBEHnvI/AAAAAAAAsew/5_CEnJoY4nY/s1600/10984191_828993397161119_3531694783549325094_o.jpg)
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
9 years ago
Dewji Blog18 Sep
Kumekucha tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo kufanyika Sept 21-27
![2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/09/26.jpg)