YAMOTO BAND WAPIGA BONGE LA SHOW HUKO UK LONDON KATIKA UKUMBI WA ROYAL REGENCY

GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Picha zote za show ya Yamoto Band ndani ya Royal Regency, UK London

Vijana wa Yamoto Band jumamosi iliyopita Walipiga Bonge moja la Show huko UK London katika Ukumbi wa Royal Regency na kuhudhuliwa na watu kibao wanaoishi huko, Hizi ni picha za matukio katika Show Hiyo. Picha zaidi Ingia www.harakatizabongo.com









































.jpg)







.jpg)




10 years ago
Michuzi
Yamoto Band ndani ya Royal Regency, UK London


BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
11 years ago
Dewji Blog01 Sep
Yamoto Band wazindua video yao kwa bonge la show Maisha Club, hizi ni picha za show nzima

Usiku wa Kuamkia leo Yamoto Band ambao wanafanya vizuri sana katika anga la Muziki kwa sasa, wamepiga Bonge la show ndani ya New Maisha Club wakiwa wanazindua Video ya wimbo wao Mpya “Niseme nisiseme” video ambayo imefanywa na Pabro kutoka kampuni ya D360,











Raymond Msanii kutoka Tiptop Connection nae alikuwepo kutoa sapoti kwa Yamoto Band.



































10 years ago
Dewji Blog05 Feb
Yamoto Band kufanya Live Show kwa mara ya kwanza kwenye jiji la London
YAMOTO BAND COMFIRMED will performing all their major hits including NITAJUTA, NISEME, WAMBEA, NITAKUPWELEPWETA and many more @ The Royal Regency Banquet Hall, Sat 21 Feb 2015 From 8pm to 3:30am, there are limited VIP Tables available book yours now for ultimate VIP treatment or individual place your booking early to avoid disappointment. Table bookings please call 07405824696/ WhatsApp +44755730494
info@bongodeejays.com or jestinageorge@gmail.com

10 years ago
GPL
YAMOTO BAND KUFANYA LIVE SHOW KWA MARA YA KWANZA KWENYE JIJI LA LONDON
10 years ago
Michuzi
YAMOTO BAND KUFANYA LIVE SHOW KWA MARA YA KWANZA JIJINI LONDON FEBRUARI 21, 2015

info@bongodeejays.com or jestinageorge@gmail.com

9 years ago
MillardAyo26 Dec
Pichaz 10 kilivyohappen pande za Geita katika Show ya Yamoto Band, usiku wa Chrismass Dec 25 2015 …
Sikukuu ya Chrismass ni moja kati ya sikukuu zenye mvuto duniani kote, imekuwa kawaida kwa vijana na watu wa rika tofauti tofauti kusherehekea kwa namna yao ya kipekee. Yamoto Band wakali wa hit single kadhaa ikiwemo kama Cheza kwa Madoido wameachia single yao mpya Mama, ambayo inafanya vizuri kama nyimbo zao nyingine, waliamua kuanzia Geita […]
The post Pichaz 10 kilivyohappen pande za Geita katika Show ya Yamoto Band, usiku wa Chrismass Dec 25 2015 … appeared first on...
10 years ago
Vijimambo
YAMOTO BAND LIVE IN LONDON

10 years ago
Vijimambo24 Feb
YAMOTO BAND YAWASHA MOTO LONDON

