Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sheria ya Mabadiliko ya Katiba kujadiliwa

Mkurugenzi wa Utetezi, Maboresho na Sheria wa LHRC, Harold SungusiaKITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema kinajipanga kutumia wanasheria, kujadili na kufanyia kazi baadhi ya vifungu vyenye utata vilivyopo katika Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ina kasoro’

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amebaini kuwapo kwa kasoro katika Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2013.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mjumbe alia na sheria ya mabadiliko ya Katiba

KITENDO cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba kuwapa nafasi kubwa wabunge wa jamhuri ya muungano na wale wa Serikali ya Zanzibar kushiriki kama wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba imechangia...

 

11 years ago

Habarileo

Sheria Mabadiliko ya Katiba kaa la moto

HOFU ya kutopatikana kwa Katiba mpya, baada ya changamoto zilizojitokeza wakati wa awamu ya kwanza ya Bunge Maalumu la Katiba, sasa ni dhahiri. Hofu hiyo inaonekana katika mahojiano maalumu kati ya waandishi wa gazeti hili na Katibu wa Bunge Maalumu la Katiba, Yahaya Khamis Hamad.

 

10 years ago

GPL

KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHAZUNGUMZIA CHANGAMOTO ZA UTEKELEZAJI WA SHERIA YA KURA YA MAONI YA KATIBA‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Hellen Kijo-Bisimba (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam wakati akitoa taarifa kuhusu changamoto za utekelezaji wa sheria ya kura ya maoni ya Katiba. Kulia ni Mratibu wa Katiba wa LHRC, Anna Henga na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala, Ezekiel Massanja.… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

JK ataka mabadiliko sheria ya manunuzi

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete.

 Na Mwandishi wetu

Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete amesema lazima mabadiliko ya kina yafanyike katika idara ya ununuzi wa umma ili kudhibiti kiwango cha rushwa kinachoigharimu serikali

Rais Kikwete amebainisha hayo wiki iliyopita jijini Mwanza katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa 12 wa shirikisho la taasisi za kuzuia na kupambana na rushwa katika  nchi za Umoja Wa Kusini Mwa Afrika ,SADC ambapo...

 

10 years ago

Mwananchi

Bodi yalilia mabadiliko Sheria ya Ununuzi

Bodi ya Barabara Mkoa wa Arusha imeliomba Bunge kufanya marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma.

 

5 years ago

CCM Blog

TUNATAKA MABADILIKO SHERIA YA USALAMA BARABARANI.....!

Usalama-2

1. KUDHIBITI Mwendokasi (Speed) kwa kuweka alama za mwendo kikomo maeneo yenye halaiki, kama vile sokoni, mashuleni, na mijini; na kuweka tafsiri sahihi ya maana ya maeneo ya makazi.

2. Kuwafanya wote dereva na abiria wa Pikipiki avae Kofia ngumu (helmet), ili abiria asiyevaa kofia na ipo apigwe faini yeye mwenyewe;

3. Kuwafanya abiria wote kwenye gari wafunge mikanda (seat belts) na sio wa siti za mbele tu. Kwani ajali zinapotokea abiria wote wanapata madhara. Sheria itamke wazi kuwa abiria...

 

11 years ago

Habarileo

Mabadiliko Sheria ya Ununuzi yalinda maslahi ya taifa

MIKATABA isiyo na maslahi kwa taifa imedhibitiwa kwa kiwango kikubwa kutokana na mabadiliko yaliyofanyika katika Sheria ya Ununuzi ya mwaka 2011; Bunge limeelezwa jana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani