‘Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ina kasoro’
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amebaini kuwapo kwa kasoro katika Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2013.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo04 Mar
Kituo cha Sheria chataja kasoro Rasimu ya Katiba
RASIMU ya Pili ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imetajwa kukosa mambo matano muhimu kwa wananchi, ambayo ni ya haki za msingi kwa ajili ya ustawi wa watu. Mambo hayo yametajwa katika kipeperushi kilichoandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa ajili ya kusambaza uelewa wa Rasimu ya Pili ya Katiba kwa wananchi.
10 years ago
Habarileo19 Aug
Sheria ya Mabadiliko ya Katiba kujadiliwa
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema kinajipanga kutumia wanasheria, kujadili na kufanyia kazi baadhi ya vifungu vyenye utata vilivyopo katika Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
Mjumbe alia na sheria ya mabadiliko ya Katiba
KITENDO cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba kuwapa nafasi kubwa wabunge wa jamhuri ya muungano na wale wa Serikali ya Zanzibar kushiriki kama wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba imechangia...
11 years ago
Habarileo29 Apr
Sheria Mabadiliko ya Katiba kaa la moto
HOFU ya kutopatikana kwa Katiba mpya, baada ya changamoto zilizojitokeza wakati wa awamu ya kwanza ya Bunge Maalumu la Katiba, sasa ni dhahiri. Hofu hiyo inaonekana katika mahojiano maalumu kati ya waandishi wa gazeti hili na Katibu wa Bunge Maalumu la Katiba, Yahaya Khamis Hamad.
10 years ago
Mwananchi19 Aug
‘Simba ya Phiri ina kasoro tatu’
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Tume kutafiti kasoro sheria za walaji
TUME ya Marekebisho ya Sheria nchini imeanza kufanya utafiti katika mapitio ya mfumo wa sheria unaosimamia haki za walaji, ili kubaini kasoro zilizoko kwenye mfumo husika kwa sasa. Akizungumza na...
10 years ago
Mwananchi20 Aug
CUF walia na kasoro Mchakato wa Katiba
10 years ago
GPLKITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHAZUNGUMZIA CHANGAMOTO ZA UTEKELEZAJI WA SHERIA YA KURA YA MAONI YA KATIBA