Sheria Mabadiliko ya Katiba kaa la moto
HOFU ya kutopatikana kwa Katiba mpya, baada ya changamoto zilizojitokeza wakati wa awamu ya kwanza ya Bunge Maalumu la Katiba, sasa ni dhahiri. Hofu hiyo inaonekana katika mahojiano maalumu kati ya waandishi wa gazeti hili na Katibu wa Bunge Maalumu la Katiba, Yahaya Khamis Hamad.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Katiba Simba kaa la moto
11 years ago
Mwananchi08 Mar
Kura ya siri, wazi kaa la moto Bunge la Katiba
10 years ago
Habarileo19 Aug
Sheria ya Mabadiliko ya Katiba kujadiliwa
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema kinajipanga kutumia wanasheria, kujadili na kufanyia kazi baadhi ya vifungu vyenye utata vilivyopo katika Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
Mjumbe alia na sheria ya mabadiliko ya Katiba
KITENDO cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba kuwapa nafasi kubwa wabunge wa jamhuri ya muungano na wale wa Serikali ya Zanzibar kushiriki kama wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba imechangia...
11 years ago
Mwananchi24 Feb
‘Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ina kasoro’
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
Escrow kaa la moto
NA THEODOS MGOMBA, DODOMA KASHFA ya madai ya kuchotwa mabilioni ya shilingi kwenye akaunti ya ESCROW, imezidi kuwa moto kutokana na kuibua mjadala mkali bungeni kila kukicha. Tayari serikali iliagiza kufanyika kwa uchunguzi wa kina ili kubaini iwapo malipo hayo kwa Kampuni ya PAP, iliyonunua IPTL, yalifanyika kihalali, ambapo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imepewa jukumu hilo. Hata hivyo, habari za kuaminika...
9 years ago
Raia Tanzania07 Sep
Ubunge Arusha kaa la moto
HARAKATI za uchaguzi zimeanza rasmi katika Jimbo la Arusha Mjini baada ya vyama vikubwa viwili vyenye ushindani; Chama Cha Mapinduzi ( CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuzindua rasmi kampeni zao mwishoni mwa wiki.
Katika uzinduzi wa kampeni hizo, kwa mara nyingine wapiga kura walishuhudia ahadi lukuki zikitolewa na wagombea wa nafasi za ubunge na udiwani wa vyama vyote viwili ambazo zimekuwa zikitekelezwa nusu nusu au zisitekelezwe kabisa.
Hata hivyo, ushindani wa...
11 years ago
Habarileo17 Jun
Bajeti kaa la moto bungeni
KAMATI ya Kudumu ya Bajeti imeonesha wasiwasi kuhusu ongezeko la haraka la deni la taifa na kusema hali hiyo inatishia ukuaji endelevu wa uchumi. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Andrew Chenge aliliambia Bunge jana, ongezeko la ghafla la deni la taifa kutoka Sh trilioni 23.67 Machi mwaka jana, hadi Sh trilioni 30.56 Machi, mwaka huu, linadhihirisha wasiwasi wa matumizi mabaya ya fedha za umma.