Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kituo cha Sheria chataja kasoro Rasimu ya Katiba

RASIMU ya Pili ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imetajwa kukosa mambo matano muhimu kwa wananchi, ambayo ni ya haki za msingi kwa ajili ya ustawi wa watu. Mambo hayo yametajwa katika kipeperushi kilichoandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa ajili ya kusambaza uelewa wa Rasimu ya Pili ya Katiba kwa wananchi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHAZUNGUMZIA CHANGAMOTO ZA UTEKELEZAJI WA SHERIA YA KURA YA MAONI YA KATIBA‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Hellen Kijo-Bisimba (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam wakati akitoa taarifa kuhusu changamoto za utekelezaji wa sheria ya kura ya maoni ya Katiba. Kulia ni Mratibu wa Katiba wa LHRC, Anna Henga na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala, Ezekiel Massanja.… ...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ina kasoro’

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amebaini kuwapo kwa kasoro katika Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2013.

 

10 years ago

Michuzi

KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHATOA TAARIFA KUHUSU AWAMU YA PILI YA KAMPENI YA KUSAMBAZA UELEWA WA RASIMU YA PILI-KAMPENI GOGOTA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Dk.Helen Kijo-Bisimba (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitoa taarifa kuhusu awamu ya pili ya kampeni ya kusambaza uelewa wa rasimu ya pili (Kampeni Gogota). Kulia ni Mratibu wa Dawati la Katiba wa kituo hicho, Anna Henga na Mwanasheria wa Kituo hicho, Harold Sungusia.
Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.
Picha/Habari na Dotto Mwaibale
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu...

 

10 years ago

Vijimambo

KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA ZANZIBAR (ZLSC) WATOA ELIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA WANANCHI ZANZIBAR.

 Taswira mbalimbali za kituo cha huduma za sheria9ZLSC) kikitoa elimu ya katiba iliyopendekezwa kwa wananchi Zanzibar.


 

10 years ago

Vijimambo

KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHAZUNGUMZIA CHANGAMOTO ZA UTEKELEZAJI WA SHERIA YA KURA YA MAONI YA KATIBA‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Hellen Kijo-Bisimba (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam wakati akitoa taarifa kuhusu changamoto za utekelezaji wa sheria ya kura ya maoni ya Katiba. Kulia ni Mratibu wa Katiba wa LHRC, Anna Henga na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala, Ezekiel Massanja.Wanahabari wakichukua taarifa hiyoWapiga picha na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa hiyo.
KITUO cha Sheria na Haki za...

 

10 years ago

Vijimambo

KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA (ZLSC) ZANZIBAR CHATOA MAFUNZO KWA WASAIDIZI WA SHERIA WA MAJIMBO YA ZANZIBAR

 KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA (ZLSC) ZANZIBAR CHATOA MAFUNZO KWA WASAIDIZI WA SHERIA WA MAJIMBO YA ZANZIBAR.

 

11 years ago

Mwananchi

Rasimu ya Pili ya Katiba hakuna cha kujadili

Juzi Rais Jakaya Kikwete alitoa maoni yake kuhusu muundo wa Muungano anaoutaka. Alifanya hivyo wakati alipokuwa akizindua Bunge Maalumu la Mabadiliko ya Katiba mjini Dodoma.

 

9 years ago

Mtanzania

Polisi haijakamilisha upelelezi wafanyakazi Kituo cha Sheria

4c36Suleiman-KovaAsifiwe George na Jenipher Thomas(DSJ), Dar es Salaam

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya  Dar es Salaam, limesema linaendelea na upelelezi  wa wafanyakazi na viongozi  38 wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC).

Watu hao wanadaiwa kusambaza taarifa za matokeo ya uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani kabla ya Tume  ya  Taifa ya Uchaguzi (NEC) haijayatangaza.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,   Suleimani Kova, alisema  watu hao  wanatuhumiwa kukusanya na kusambaza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani