Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bodi yalilia mabadiliko Sheria ya Ununuzi

Bodi ya Barabara Mkoa wa Arusha imeliomba Bunge kufanya marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mabadiliko Sheria ya Ununuzi yalinda maslahi ya taifa

MIKATABA isiyo na maslahi kwa taifa imedhibitiwa kwa kiwango kikubwa kutokana na mabadiliko yaliyofanyika katika Sheria ya Ununuzi ya mwaka 2011; Bunge limeelezwa jana.

 

9 years ago

StarTV

Sekta binafsi Yalilia Uchaguzi wa Amani kwa kuzingatia sheria za nchi

Taasisi ya Sekta binafsi imewasisitiza wananchi kuzingatia sheria za uchaguzi zilizowekwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ZEC ili uchaguzi ufanyike kwa amani na kuepuka kuingia kwenye machafuko ya kisiasa.

Mkurugenzi wa Sekta Binafsi Godfrey Simbeye amesema mbali na sababu nyingine za kiuchumi amani iliyopo Tanzania ndiyo imechangia kwa kiasi kikubwa kuvutia wawekezaji na kukua kwa uchumi wa nchi mpaka kufikia asilimia Saba.

Simbeye amesema baadhi ya nchi za...

 

11 years ago

Mwananchi

Bodi ya ununuzi yaonywa

Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi Nchini (PSPTB), imetakiwa kuwachukulia hatua za kinidhamu, wanachama wake watakaobainika kuisababishia hasara Serikali kutokana na kuingia mikataba ya ununuzi ambayo haina masilahi kwa taifa

 

9 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA SITA YA BODI YA WATAALAM WA UNUNUZI NA UGAVI

WATAALAM wa Ununuzi na Ugavi nchini wameaswa kutekeleza majukumu yao kwa weledi na kuzingatia miiko na maadili inayoongoza taaluma yao ili kuleta tija kwenye matumizi ya fedha za watanzania. Aidha Bodi imeagizwa kusimamia kwa ukaribu zaidi mienendo ya wanataaluma waliosajiliwa. 
Hayo yalisemwa na Dk. Hamis Mwinimvua Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha akimwakilisha Mgeni Rasmi Waziri wa Fedha  Mheshimiwa Saada Mkuya Salum kwenye sherehe za mahafali ya sita ya wataalam wa ununuzi na ugavi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mahafali ya sita ya bodi ya wataalam wa ununuzi na ugavi yafana

PS1

Mwenyekiti wa Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi Dr. Sr Hellen Bandiho akifungua rasmi kusanyiko la mahafali.

Wataalam wa Ununuzi na Ugavi nchini wameaswa kutekeleza majukumu yao kwa weledi na kuzingatia miiko na maadili inayoongoza taaluma yao ili kuleta tija kwenye matumizi ya fedha za watanzania. Aidha Bodi imeagizwa kusimamia kwa ukaribu zaidi mienendo ya wanataaluma waliosajiliwa. Hayo yalisemwa na Dk. Hamis Mwinimvua Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha akimwakilisha Mgeni Rasmi Waziri...

 

10 years ago

Michuzi

mahafali ya tano ya Bodi ya Ununuzi na Ugavi yafana jijini Dar es Salaam

 Mkurugenzi wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Dk Clemence Tesha (kushoto) akiwaapisha wahitimu wa shahada ya kwanza  ya Bodi ya Ununuzi na Ugavi, kwenye sherehe za mahafali ya tano yaliyofanyika kwenye viwanja vya bodi hiyo, Dar es Salaam Wahitimu wa Mahafali ya tano ya Bodi ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakionekana wenye furaha muda mfupi baada ya kutunukiwa vyeti, stashahada na shahada za ununuzi na ugavi kwenye sherehe za mahafali ya tano yaliyofanyika kwenye viwanja vya bodi hiyo, Dar...

 

10 years ago

Michuzi

PSPTB YAFANYA SEMINA YA UTAFITI KWA WANAFUNZI WA BODI YA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI

Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi PSPTB imeendesha mafunzo kwa wanafunzi wa fani ya ununuzi na ugavi wanaofanya tafiti kama sehemu ya mafunzo yao ya shahada ya Ununuzi na ugavi.Mafunzo hayo yalifunguliwa tarehe 16 Februari 2015 na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi Dr. Clemence Tesha, ambaye aliwaasa wanafunzi hao wazingatie mafunzo hayo ili kuongeza ubora wa kazi za utafiti watakazofanya kwa ajili ya kupata shahada ya juu ya ununuzi na ugavi. Aidha, alisisitiza kuwa wanapaswa kuzingatia maadili...

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yatoa mafunzo kwa wataalamu wake

Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi imeendesha mafunzo kwa walimu ,wataalam wanaosimamia wanafunzi wa fani ya ununuzi na ugavi wanaofanya tafiti kama sehemu ya mafunzo yao ya stashahada ya ununuzi na ugavi. 
Mafunzo hayo yalifunguliwa jana, na mjumbe wa bodi ya wakurugenzi, Bw, Aziz Kilonge, ambaye aliwaasa wataalam hao kuhakikisha kwamba wanasimamia wanafunzi kwa ukamilifu ili kuongeza ubora wa kazi za utafiti zinazofanywa. 
Aidha, alifafanua kuwa uzingatiaji wa maadili katika kufanya...

 

5 years ago

Michuzi

Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yazindua wimbo maalum wenye lengo la kuhamasisha Wanataaluma

Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) imezindua wimbo maalum wenye lengo la kuhamasisha Wanataaluma kujiunga na Bodi hiyo sambamba na kutoa elimu kwa umma kuhusu kazi zinazofanywa na Bodi.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi hiyo, Godfred Mbanyi amesema wimbo huo umejikita zaidi Wanataaluma kujisajili na Bodi na kufanya Mitihani ya Bodi na kubobea zaidi katika Taaluma hiyo.
Mbanyi amesema wimbo huo umetoa ujumbe mahsusi wa majukumu, kazi ambayo Bodi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani