Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAMBUZI: Tunaitamani KCMC ya mwaka 1971 iliyojali utu

>Aprili 12, 2010, mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa alitoa kauli ambayo kwa hakika ilipaswa kuirudisha Hospitali ya Rufaa ya KCMC katika mstari.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Katiba mpya itatowesha madhila ya sheria kandamizi ya ndoa ya mwaka 1971: Dk Chana

Wakati wa mahojiano Dk. Pindi Chana na Joseph Msami.(Picha ya UM/Idhaa ya kiswaili)
Juhudi za kutokomezwa kwa ndoa na mimba za utotoni huenda ziakatimia nchini Tanzania baada ya kuingizwa kwa kipengele cha kumtambua mtoto kuwa ni mtu yeyote aliyeko chini ya umri wa miaka 18 katika rasimu ya katiba. Amesema naibu waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia na watoto Dk Pindi Chana.

Katika mahojiano maaluma na Joseph Msami wa idhaa hii muda mfupi baada ya kuhutubia baraza kuu la Umoja wa Mataifa, Dk...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mzee aishi wodini kwa miaka 45 tangu Januari mosi mwaka 1971

DSC07576

Mzee Abdi Nkhambi Lanjui (75) akiwa wodi namba nne katika hospitali ya mkoa mjini Singida. Mzee Lanjui mzaliwa wa kijiji cha Mhintiri tarafa ya Ihanja, aliyekuwa dereva wa kampuni ya mamlaka ya Pamba Mwanza, alipata ajali katikati ya mwaka 1968 na kulazwa katika hospitali ya Sekoture Mwanza na baadaye mwishoni mwa mwaka 1970,alihamishiwa hospitali ya mkoa wa Singida, ambako anaishi hadi sasa. Ajali hiyo ilisababisha kukatika mawasiliano kati ya kuanzia kiunoni na kushuka chini ambako...

 

10 years ago

Dewji Blog

Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, chanzo cha ongezeko la mimba na ndoa za utotoni nchini

x

Mratibu wa Utetezi Taifa, SOS Tanzania/Zanzibar, John Batista, akizungumza katika Mdahalo wa Nijali uliolenga ndoa za utotoni na mimba za utotoni  kwa kushirikisha Chama cha Waandishi wa Habari za Watoto, (TAJOC) na wengine, uliofanyika leo katika Hoteli Regency jijini Dar es Salaam.

Na Andrew Chale, Modewjiblog.com

Imeelezwa kuwa, kuongezeka kwa ndoa za utotoni inatokana na sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kuendelea kutumika wakati hali yake ni mbaya kwa watoto wakike kushindwa kufikia ndoto...

 

10 years ago

Habarileo

‘Sheria ya 1971 inachangia ndoa, mimba za utotoni’

SERIKALI imeombwa kuangalia upya Sheria ya mtoto ya mwaka 1971 kwani imebainika kuwa ndio chanzo kimojawapo kinachoruhusu na kuchangia ndoa za utotoni pamoja na mimba za utotoni.

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yakiri sheria ya ndoa ya 1971 haifai

DSC_0104

Mgeni Rasmi katika utambulisho wa kampeni ya kitaifa kupinga ndoa za utotoni (National Ending Child Marriage Campaign), Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Anna Maembe,  akizungumza na waandishi wa habari umuhimu wa kufanyia marekebisho sheria ya ndoa ya mwaka 1971.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).

.Wadau watambulisha kampeni ya kupambana tatizo la ndoa za utotoni

Na Mwandishi Wetu, MOblog Tanzania

SERIKALI ya Tanzania imekiri kwamba Sheria ya Ndoa ya 1971 ni...

 

5 years ago

Michuzi

UKEKETAJI HUONDOA UTU NA HADHI YA MWANAMKE

Na.Vero Ignatus,Arusha
Jamii imetakiwa kuondoka na na dhana potofu ya kumkeketa mtoto wa kike na kumuondolea hadhi na utu wake kama Mungu alivyomuumba badala yake wabadilike na kukemea kitendo hicho kwani ni ukiukaji wa haki za kibinadamu
Ukeketaji unawaathiri wasichana na wanawake kwa asilimia kubwa pia kitendo hicho kinadhoofisha uchumi pamoja na nguvu kazi, unaathiri afya ya mwili na akili za kwa wanawake wanaokeketwa hivyo jamii inapaswa kuungana ili kupinga kitendo hicho
Hayo yamesemwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Utu ni zaidi ya fedha na mali zako

Juzi, nilikutana na mama mmoja aliyewahi kuwa mwenye nyumba wetu miaka ya nyuma wakati ningali binti mdogo.

 

10 years ago

Vijimambo

Makamo mwenyekiti wa UTU kuwasili Tanzania

Makamo mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania Ujerumani UTU e.V Mheshimiwa Peter Kazaura kuwasili nchini Tanzania Kesho 02.02.2015 kwa ajili ya kufanya mazungumzo na kiongozi wa juu wa Taifa. akiwa Tanzania atafanya mazungumzo na uongozi wa mashirika yafuatayo TIC, Basata, Wizara ya Ardhi, NSSF, NHC, Tanzania Diaspora Initiative na Wizara ya Utamaduni Michezo na Vijana.
Mazungumzo hayo yatalenga upatikanaji wa Fursa zilizopo Tanzania kwa Diaspora. akiendelea kueleza msemaji wa Umoja huo...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Nakaaya Ft. Dunga — Utu Uzima Dawa

Wimbo mpya wa Nakaya unaitwa “Utu Uzima Dawa” amemshirikisha Dunga Producer Lamar Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani