Katiba: Mawaziri Zanzibar wapigia kampeni kura ya ndiyo
Mawaziri katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Muungano wameanza kampeni kuwataka wananchi kuunga mkono Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa wakisema imezingatia masilahi ya Zanzibar kiuchumi na kiutawala.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili16 Jan
55% wapigia katiba kura Misri
10 years ago
Habarileo28 Apr
‘Wanawake pigieni kura ya ndiyo Katiba’
MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake nchini (UWT), Sofia Simba amewataka wanawake nchini, kujitokeza kwa wingi kuipigia kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa wakati ukifika, kwani ni mkombozi kwa mwanamke katika harakati zake za kijamii na kisiasa.
10 years ago
Habarileo18 Mar
Pigieni kura ya ndiyo Katiba mpya — Salma
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi Mjini, Mama Salma Kikwete amewaomba wananchi kuipigia kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa, kwa kuwa ni bora na imezingatia mahitaji ya makundi yote ya jamii.
10 years ago
Habarileo20 Oct
Chikawe asisitiza kura ya ndiyo Katiba mpya
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe amewataka wananchi wilayani Nachingwea kuipigia kura ya ndiyo Rasimu ya Katiba iliyopendekezwa na Bunge la Katiba.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-GH-B8PadDAA/VONXJNItEII/AAAAAAAHELE/l1XN1g3fi9s/s72-c/salma-pps.jpg)
MAMA KIKWETE AWATAKA WAKAZI WA MKOA WA LINDI KUIPIGIA KURA YA NDIYO KATIBA PENDEKEZWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-GH-B8PadDAA/VONXJNItEII/AAAAAAAHELE/l1XN1g3fi9s/s1600/salma-pps.jpg)
Wananchi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuipigia kura ya ndiyo katiba inayopendekezwa kwani ni bora na imegusa maeneo yote kwa ajili ya maendeleo ya Watanzania.
Rai hiyo imetolewa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wananchi waliohudhuria sherehe ya kushangilia ushindi wa uchaguzi wa Serikali za mitaa katika mtaa wa Ruaha kata ya Mingoyo...
10 years ago
Mwananchi13 Dec
Kampeni tatu za Katiba zaibuka Zanzibar
9 years ago
VijimamboViongozi wa Vyama vya Siasa Zanzibar Wakiwa katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar Wakisubiri Matokeo ya Kura ya Urais wa Zanzibar
11 years ago
Mwananchi09 Jul
KATIBA: ‘Wananchi ndiyo waamuzi wa Katiba’
10 years ago
Habarileo02 Apr
Utafiti: Kura ya Ndiyo itapita
WAKATI siku za kupiga Kura ya Maoni zikikaribia, imebainika kuwa zaidi ya nusu ya Watanzania wataipigia kura ya Ndiyo Katiba Inayopendekezwa.