Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utafiti: Kura ya Ndiyo itapita

Marais Dkt. Jakaya Kikwete na Dkt Ali Shein mara baada ya kukabidhiwa Katiba inayopendekezwa Oktoba mwaka jana.WAKATI siku za kupiga Kura ya Maoni zikikaribia, imebainika kuwa zaidi ya nusu ya Watanzania wataipigia kura ya Ndiyo Katiba Inayopendekezwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

‘Wanawake pigieni kura ya ndiyo Katiba’

Mwenyekiti wa UWT, Sophia Simba.MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake nchini (UWT), Sofia Simba amewataka wanawake nchini, kujitokeza kwa wingi kuipigia kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa wakati ukifika, kwani ni mkombozi kwa mwanamke katika harakati zake za kijamii na kisiasa.

 

11 years ago

Mwananchi

KURA YA NDIYO: Lissu: Arfi ni mpinzani jina

>Mwanasheria  wa Chadema, Tundu Lissu amesema kitendo cha makamu mwenyekiti wa zamani wa chama hicho, Said Arfi kupiga kura ya ‘ndiyo’ kuunga mkono Bajeti ya Serikali kimedhihirisha kuwa mbunge huyo sasa ni mpinzani jina.

 

10 years ago

Habarileo

Pigieni kura ya ndiyo Katiba mpya — Salma

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi Mjini, Mama Salma Kikwete amewaomba wananchi kuipigia kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa, kwa kuwa ni bora na imezingatia mahitaji ya makundi yote ya jamii.

 

10 years ago

Habarileo

Chikawe asisitiza kura ya ndiyo Katiba mpya

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe amewataka wananchi wilayani Nachingwea kuipigia kura ya ndiyo Rasimu ya Katiba iliyopendekezwa na Bunge la Katiba.

 

11 years ago

Michuzi

Bunge lapitisha Bajeti ya Serikali kwa kura za ndiyo



 Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya akijibu Hoja za Wabunge kabla ya Bunge kukaa na kupiga kura kuamua Bajeti ya serikali  kwa Mwaka 2014-015.   Wabunge wakimsikiliza Waziri wa fedha Mhe Saada wakati akijibu hoja za waheshimiwa Wabunge kabla ya zoezi la kupiga kura kwa ajili ya kupitisha Bajeti ya serikali kwa mwaka 2014-2015.  Spika wa Bunge akiendesha kikao cha Bunge la Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2014-2015 akisaidiwa na Makatibu wa Bunge mbele yake wakati waziri wa Fedha...

 

10 years ago

Mwananchi

Katiba: Mawaziri Zanzibar wapigia kampeni kura ya ndiyo

Mawaziri katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Muungano wameanza kampeni kuwataka wananchi kuunga mkono Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa wakisema imezingatia masilahi ya Zanzibar kiuchumi na kiutawala.

 

10 years ago

Michuzi

NCHI 188 ZAPIGA KURA YA NDIYO YA KUTAKA CUBA IONDOLEWE VIKWAZO

Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi akizungumza muda mfupi kabla wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hawajapigia kura ya kutaka vikwazo vya kiuchumi, kibiashara na kifedha ambavyo Marekani imeiwekea Cuba viondolowe. nchi 188 zilipiga kura ya ndiyo, mbili zilipiga kura ya hapana na tatu zilipiga kura ya kutofungamana na upande wowote.
Na Mwandishi Maalum , New York
Kwa mwaka wa 23 sasa hapo jana ( Jumanne ) Nchi wanachama wa Umoja wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA KIKWETE AWATAKA WAKAZI WA MKOA WA LINDI KUIPIGIA KURA YA NDIYO KATIBA PENDEKEZWA

Na Anna Nkinda – aliyekuwa Lindi.
Wananchi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuipigia kura ya ndiyo katiba inayopendekezwa kwani ni bora na imegusa maeneo yote kwa ajili ya maendeleo ya Watanzania.
Rai hiyo imetolewa na  Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wananchi waliohudhuria sherehe ya kushangilia ushindi wa uchaguzi wa Serikali za mitaa katika mtaa wa Ruaha kata ya Mingoyo...

 

9 years ago

Vijimambo

Utafiti wazua taharuki, waibua maswali tata.Kura za maoni: Twaweza yaipa CCM ushindi wa 65%, Ukawa 25%

Mkurugenzi Mkuu wa Twaweza, Aidan Eyakuze akihojiwa na wanahabari
Matokeo ya utafiti kuhusu uchaguzi mkuu yaliyompa ushindi wa asilimia 65 mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli dhidi ya asilimia 25 za Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yameibua taharuki kubwa huku baadhi wakiupinga, kuunga mkono na wengine kuibua maswali kadhaa magumu.

Akizungumza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, katika tukio lililorushwa moja kwa moja (live)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani