KURA YA NDIYO: Lissu: Arfi ni mpinzani jina
>Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu amesema kitendo cha makamu mwenyekiti wa zamani wa chama hicho, Said Arfi kupiga kura ya ‘ndiyo’ kuunga mkono Bajeti ya Serikali kimedhihirisha kuwa mbunge huyo sasa ni mpinzani jina.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Arfi: Lissu aache kukurupuka
10 years ago
Habarileo03 Aug
Arfi ashindwa kura za maoni Nsimbo
WAKATI matokeo rasmi ya kura za maoni zilizopigwa jana kuwachagua makada wa CCM katika nafasi za ubunge na udiwani yakisubiriwa kwa hamu, matokeo ya awali yanaonesha kuwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini kwa tiketi ya Chadema, Said Amour Arfi ameshindwa kuongoza katika Jimbo la Nsimbo, mkoani Katavi, kwa tiketi ya CCM.
10 years ago
Vijimambo
Baada ya Jina Lake Kukatwa, Haya Ndiyo Yanayomsumbua Edward Lowasa Mpaka Anashindwa Kula

Nimepata taarifa kutoka kwa watu walio karibu na Lowasa kuwa tangu juzi chakula hakijapanda kwa mzee. Kwamba kila akiwekewa chakula mezani, anachokonoa kidogo tu na inachukua muda mrefu kati ya tonge moja hadi jingine. Pia mdau huyo kanidokeza kuwa Mzee Lowasa kwa sasa ana mawazo mengi sana na hajui afanye nini. Wapo waliomshauri kuwa akae kimya katika kipindi hiki kigumu ili apate muda wa kutosha kutafakari na kufanya maamuzi. Hata hivyo, ushauri huo ameutupa kwani anahisi kwamba muda...
10 years ago
Mwananchi20 May
KATIBA: Kura ya Maoni hakuna-Lissu
11 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Lissu: Marehemu amepiga kura Katiba ya Sitta
MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amesema mchakato wa kutengeneza katiba mpya ni wa kihistoria kwani jina la marehemu lilipiga kura. Akifafanua kauli hiyo alisema jina...
10 years ago
Habarileo02 Apr
Utafiti: Kura ya Ndiyo itapita
WAKATI siku za kupiga Kura ya Maoni zikikaribia, imebainika kuwa zaidi ya nusu ya Watanzania wataipigia kura ya Ndiyo Katiba Inayopendekezwa.
5 years ago
MichuziWALEMAVU WAMKARIBISHA RASMI TUNDU LISSU WAMWAMBIA KURA ZAO ZOTE KWA JPM
10 years ago
GPL
10 years ago
Habarileo28 Apr
‘Wanawake pigieni kura ya ndiyo Katiba’
MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake nchini (UWT), Sofia Simba amewataka wanawake nchini, kujitokeza kwa wingi kuipigia kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa wakati ukifika, kwani ni mkombozi kwa mwanamke katika harakati zake za kijamii na kisiasa.