Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Arfi ashindwa kura za maoni Nsimbo

WAKATI matokeo rasmi ya kura za maoni zilizopigwa jana kuwachagua makada wa CCM katika nafasi za ubunge na udiwani yakisubiriwa kwa hamu, matokeo ya awali yanaonesha kuwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini kwa tiketi ya Chadema, Said Amour Arfi ameshindwa kuongoza katika Jimbo la Nsimbo, mkoani Katavi, kwa tiketi ya CCM.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akishangiliwa na wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda mjini. Matokea yalikuwa hivi:

Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto  6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri  385Brian Baraka 263

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akiwashukuru wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda...

 

11 years ago

Mwananchi

KURA YA NDIYO: Lissu: Arfi ni mpinzani jina

>Mwanasheria  wa Chadema, Tundu Lissu amesema kitendo cha makamu mwenyekiti wa zamani wa chama hicho, Said Arfi kupiga kura ya ‘ndiyo’ kuunga mkono Bajeti ya Serikali kimedhihirisha kuwa mbunge huyo sasa ni mpinzani jina.

 

10 years ago

Mtanzania

Mgombea urais ashindwa kupiga kura

lyimoNA UPENDO MOSHA, MOSHI

MGOMBEA wa urais kwa tiketi ya Tanzania Labour Party (TLP), Macmilan Lyimo, jana alishindwa kupiga kura baada ya kufika katika kituo cha kupigia kura kilichopo Kata ya Njia Panda, Wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro, akiwa hana kitambulisho chake cha kupigia kura.

Mgombea huyo ambaye ni miongoni mwa wagombea wanane wanaowania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana, alifika katika Kituo cha Ghalani, saa tatu asubuhi kwa lengo la kupiga kura, lakini...

 

10 years ago

GPL

MGOMBEA URAIS TLP ASHINDWA KUPIGA KURA

Mgombea urais kwa tiketi ya Tanzania Labour Party (TLP), Maximillian Lyimo. Mgombea urais kwa tiketi ya Tanzania Labour Party (TLP), Maximillian Lyimo ameshindwa kupiga kura leo katika Kituo cha Njia Panda Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro baada ya kukosekana taarifa zake kituoni hapo. Lyimo aliyejiandikishia mkoani Dar es Salaam, jana alienda kufunga kampeni zake Jimbo la Vunjo na kulala huko, asubuhi ya leo alienda kituo cha...

 

11 years ago

Mwananchi

Maoni ya wananchi yakipuuzwa, wataikataa kwa kura ya maoni

>Mjumbe wa Bunge la Katiba, Profesa Anna Tibaijuka ametahadharisha kuwa wananchi wanaweza kuikataa Katiba kwenye kura ya maoni kama maoni yao yatawekwa kando.

 

10 years ago

BBCSwahili

Maoni ya Watanzania kuhusu kura za maoni

Watanzania wamegawanyika kuhusu kura za maoni ambazo zinafanywa nchini humo huku uchaguzi mkuu ukikaribia.

 

10 years ago

Michuzi

wapiga kura wampongeza jerry silaa kwa kushinda katika kura za maoni jimbo la ukonga

 Wananchi wa Jimbo la Ukonga wakiwa nyumbani kwa mgombea ubunge wa jimbo hilo aliyeibuka kidedea, Jerry Silaa.Mgombea Jerry Silaa akishukuru wapiga kura baada ya kuibuka kidedea kwa kupata kura 10,382 huku mshindani wake PATEL Ramesh akipata kura 7355. Mgombea ubunge huyo aliwashukuru wananchi na wanaCCM waliokwenda nyumbani kumpongeza na kuwapongeza wagombea wenzake wote,na kuongeza kuwa wiki moja waliyokuwa pamoja amejifunza mengi, anaamini watashirikiana kufanikisha Ushindi wa CCM October...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wizi wa kura hadi kwenye kura ya maoni!

WAKATI Bunge Maalumu la Katiba linaendelea, kuna wanaosema kwamba hata kura ya maoni haiwezi kusaidia sana maana hapa Tanzania kuna hofu ya wizi wa kura. Tume ya uchaguzi tuliyonayo sasa...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA NA KURA YA MAONI


Kama inavyofahamika, chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1997 na Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343 ya mwaka 2010, jukumu la Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni kusimamia na kuendesha Uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani kwa Tanzania Bara. Aidha, Sheria ya Kura ya Maoni imezipa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi Zanzibar jukumu la kuendesha Kura ya Maoni kwa ajili ya kuhalalisha Katiba Inayopendekezwa. Kwa mujibu wa Katiba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani