MGOMBEA URAIS TLP ASHINDWA KUPIGA KURA
![](http://api.ning.com:80/files/zCV6O6VKkHxe17R-D0KbKYD4jzKVxh-etrkKEdANXQgFXipxogflBpjooX1u5R0i-uy284J2FnaqJz8si-6dQ8eSkATakLSy/luo1.jpg?width=650)
Mgombea urais kwa tiketi ya Tanzania Labour Party (TLP), Maximillian Lyimo. Mgombea urais kwa tiketi ya Tanzania Labour Party (TLP), Maximillian Lyimo ameshindwa kupiga kura leo katika Kituo cha Njia Panda Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro baada ya kukosekana taarifa zake kituoni hapo. Lyimo aliyejiandikishia mkoani Dar es Salaam, jana alienda kufunga kampeni zake Jimbo la Vunjo na kulala huko, asubuhi ya leo alienda kituo cha...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania26 Oct
Mgombea urais ashindwa kupiga kura
NA UPENDO MOSHA, MOSHI
MGOMBEA wa urais kwa tiketi ya Tanzania Labour Party (TLP), Macmilan Lyimo, jana alishindwa kupiga kura baada ya kufika katika kituo cha kupigia kura kilichopo Kata ya Njia Panda, Wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro, akiwa hana kitambulisho chake cha kupigia kura.
Mgombea huyo ambaye ni miongoni mwa wagombea wanane wanaowania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana, alifika katika Kituo cha Ghalani, saa tatu asubuhi kwa lengo la kupiga kura, lakini...
9 years ago
Mwananchi25 Oct
Mgombea urais TLP azuiwa kupiga kura
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zCV6O6VKkHwc4eD6IHgVsneag5D66z2q1uEY*0DRwt6npYpF0wk16iPLurBom2tDPmdWv4rwokreR5T5Pv3SDRmc5FDjcPzX/MaxmillianLyimotlp.jpg?width=650)
HATIMAYE MGOMBEA URAIS TLP APIGA KURA YAKE
9 years ago
Michuzi26 Oct
Mgombea urais kwa tiketi ya Tanzania Labour Party (TLP), Mhe Maximillian Lyimo apiga kura Vunjo
![](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/U9Phmn0SvgZRqxNMpuRV6u_G-Hg-EH6QW2YsdKBVviwZIV0vfLb0apq-l5Zb6FInX7J1gsYRPIUbx8bUcrqUtA2WwrcDY8aAKqhg9IPeifD9PTZdQiHExYCjw4aGwUPJBBwrTH6qL7Nx9Pt3qp4Bo7bDMIh_-eEW3iQx1YAIFcHkY2J2pyWiUjtJdklpovxrpo_5VmqYPz2SOhtd0ZGxp-mWCzn76kEamd5p_BeET6WOGw=s0-d-e1-ft#http://api.ning.com/files/zCV6O6VKkHwc4eD6IHgVsneag5D66z2q1uEY*0DRwt6npYpF0wk16iPLurBom2tDPmdWv4rwokreR5T5Pv3SDRmc5FDjcPzX/MaxmillianLyimotlp.jpg?width=650)
Mgombea urais kwa tiketi ya Tanzania Labour Party (TLP), Mhe. Maximillian Lyimo hatimaye amepiga kura yake katika Kituo cha Njia Panda, Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, baada ya mambo kuwekwa sawa. Awali Mhe. Lyimo alishindwa kupiga kura baada ya kukosekana taarifa zake kituoni hapo.Mhe Lyimo aliyejiandikishia mkoani Dar es Salaam, jana alienda kufunga kampeni zake Jimbo la Vunjo na kulala huko. Asubuhi ya leo...
9 years ago
Habarileo11 Sep
Mgombea urais TLP kunguruma Dar kesho
CHAMA cha Tanzania Labour (TLP) kinatarajia kuzindua kampeni zake kitaifa kesho katika viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam.
5 years ago
MichuziMkutano Mkuu wa TLP kumpitisha Mgombea Urais Dkt. John Pombe Magufuli wa CCM.
Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kimesema kuwa Mkutano mkuu wa chama hicho utaofanyika Mei 9 mwaka huu Kitapitisha Mgombea wa Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt.John Pombe Magufuli.
Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa Chama hicho Agustino Latonga Mrema amesema kuwa jina Mgombea Urais lilisgapitishwa na Halmashauri Kuu Chama na kilichobaki ni kudhibitisha jina la Mgombea huyo.
Amesema kuwa katika uchaguzi mkuu hakuna haja ya kuweka Mgombea...
9 years ago
Raia Mwema14 Oct
Ningekuwa mimi mgombea, ningewalipia wote nauli na posho ili waweze kwenda kupiga kura
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
9 years ago
Dewji Blog25 Oct
Mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, apiga kura Singida mjini
Mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Anna Mughwira,akihakiki jina lake kwenye ubao wa matangazo muda mfupi kabla hajapiga kura kwenye kituo cha shule ya msingi Kibaoni mjini Singida leo.
Mgombea urais kupitia ACT- Wazalendo, Anna Mughwira, akipiga kura kuchagua Rais, Mbunge na Diwani katika kituo cha shule ya msingi Kibaoni mjini Singida. Pamoja na mambo mengine, Mughwira ameseme endapo wapiga kura wataamua kuchagua chama ambacho kimenadi sera zake kwenye kampeni, anauhakika...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-cgFeqyGylw4/VcC04r9_5zI/AAAAAAAAcCQ/omhO-aOQrNk/s72-c/c16.jpg)
PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS
![](http://4.bp.blogspot.com/-cgFeqyGylw4/VcC04r9_5zI/AAAAAAAAcCQ/omhO-aOQrNk/s640/c16.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-283YW3zqPqY/VcC04hc0ZFI/AAAAAAAAcCM/6Yn8L0MksWw/s640/c17.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-X1hklPGs6_4/VcC04dfGx7I/AAAAAAAAcCI/tK03pjoNSxE/s640/c18.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-dQMFnDG46-o/VcC050ISKbI/AAAAAAAAcCg/wczVQE642p4/s640/c19.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-4K6YSo9YezA/VcC06IaqWuI/AAAAAAAAcCk/btgG3CzKLYc/s640/c20.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-C-vbmMMYATo/VcC06oLLGlI/AAAAAAAAcCo/Uf0oA3y06vw/s640/c21.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-i0L0gdBbxR0/VcC06wBZ0uI/AAAAAAAAcCs/ilzWOvRdpY8/s640/c22.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-mXP8dksn-Zk/VcC07ngiiFI/AAAAAAAAcC8/EDURRoHq4gc/s640/c23.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-vFq-Sn-LLws/VcC08FuPX5I/AAAAAAAAcDI/2JMLVef8exk/s640/c24.jpg)