Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema wapinga kura kwa intaneti

UAMUZI wa Bunge Maalumu la Katiba wa kupitisha marekebisho ya Kanuni zake, ili kutoa fursa kwa wajumbe wa Bunge hilo kupiga kura ya kukubali au kukataa Katiba inayopendekezwa wakiwa mahali popote hata nje ya nchi kwa kutumia nukushi (faksi) au intaneti, umegeuka kuwa shubiri kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kura Katiba mpya kwa faksi, intaneti

Mjumbe wa Kamati ya Kanuni na Haki za Bunge Maalumu la Katiba, Amon MpanjuBUNGE Maalumu la Katiba, limepitisha marekebisho ya Kanuni zake, ili kutoa fursa kwa wajumbe wa Bunge hilo kupiga kura ya kukubali au kukataa Katiba inayopendekezwa, mahali popote walipo hata nje ya nchi katika muda mfupi kwa kutumia nukushi (faksi) au intaneti.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

CHADEMA YATOA ONYO KUHUSU MPANGO WA KUKATA MAWASILIANO YA SIMU NA MTANDAO WA INTANETI

Chama cha Democrasia na maendeleo CHADEMA pamoja na umoja wa katiba ya wananchi UKAWA wamesema kuwa upo mpango unaoandaliwa na chama cha mapinduzi kwa kushirikiana na serikali kuhakikisha kuwa wanakata mawasiliano hasa ya mtandao kwa siku ya upigaji kura Tanzania,mpango ambao wamesema kuwa unasukwa kwa ajili ya kuhakikisha kuwa watanzania wanakuwa hawana mawasiliano ya haraka kupenana habari za

 

9 years ago

BBCSwahili

Wapiga kura wapinga sheria ya jinsia moja

Wapiga kura nchini Slovenia wamekataa sheria ambayo itawaruhusu wapenzi wa jinsia moja kufunga ndoa na kupanga watoto.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA wapinga wake wa marais kuanzisha taasisi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewatuhumu Rais Jakaya Kikwete na Rais mstaafu Benjamin Mkapa kwa kugeuza Ikulu kuwa kituo cha kuanzisha taasisi binafsi. Shutuma hizo zilitolewa juzi na Mkurungenzi...

 

10 years ago

GPL

TAMKO LA CHADEMA KUHUSU KUAHIRISHWA KWA MUDA WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Mabere Marando akiongea na wanahabari. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAMKO KUHUSU KUAHIRISHWA KWA MUDA WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA “BIOMETRIC VOTERS REGISTRATION” (BVR) KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM NA MKOA WA PWANI Kufuatia Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuutangazia umma kuwa zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la...

 

10 years ago

Vijimambo

MGOMBEA CHADEMA MTAA WA MIGOMBANI SEGEREA, JAPHET KEMBO AWAGARAGAZA WAPINZANI WAKE KWA KUPATA KURA 510

Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Migombani Kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Japhet Kembo akifurahia huku akipongezwa na wanachama na wapenzi wa Chadema mara baada ya kuibuka mshindi wa Kiti cha Mwenyekiti kwa Kupata Kura 510 huku CCM wakiwa wamepata kura 215 na NCCR kupata kura 205 Mawakala wa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Migombani wakihesabu kura ambapo sanduku hilo ndio lilikuwa sanduku la mwisho kuhesabiwa katika Kituo cha...

 

11 years ago

Michuzi

Airtel yaja na 'Tourist pack' yashusha gharama za simu na Intaneti kwa Watalii

 Wakwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Bw, Sunil Colaso akifuatiwa na  Meneja Masoko wa Airtel bi, Prisca Tembo ,na Mwenyekiti wa shirikisho la  wadau wa Utalii Tanzania Bwana Gaudence Temu , wakionyesha vifurushi vya bidhaa mpya ya Airtel Tourist Pack , wakati wa uzinduzi wa kifurushi hicho kitakacho wawezesha watalii kuwasiliana na familia zao mara wawapo nchi katika utalii, uzinduzi hu umefanyika leo katika makao makuu ya Airtel Daressalaam  Mkurgenzi mtendaji wa Airtel...

 

5 years ago

BBCSwahili

China Uighur: Wazuiliwa kwa kuwa na ndevu, kufunika uso na kutumia mtandao wa intaneti

Stakabadhi mpya zinaonesha "tena ushahidi mkubwa" kuhusu jinsi China inavyowakamata watu kwa misingi ya kidini katika eneo la Xinjiang.

 

10 years ago

Michuzi

Wateja wote wa Vodacom Tanzania kuperuzi intaneti bure kwa masaa 2 kila siku asubuhi

 Zaidi ya watumiaji milioni 13 wa mtandao wa simu za mkononi kuanzia leo wataweza kuperuzi internet inayofikia MB100 kwa masaa mawili bure kuanzia saa 12 alfajiri hadi saa 2 asubuhi kutokana na ofa inayojulikana kama "Good Morning Tanzania" inayotolewa na Vodacom Tanzania.

Promosheni hii imeanzishwa kutokana na kuonenakana kuwepo kwa mahitaji makubwa ya matumizi ya data katika kupata  taarifa kupitia mtandao wa intaneti.Vodacom Tanzania siku zote imekuwa mstari wa mbele kubuni huduma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani