Airtel yaja na 'Tourist pack' yashusha gharama za simu na Intaneti kwa Watalii
![](http://3.bp.blogspot.com/-yJjqs-uq7aw/U8jslUgu69I/AAAAAAAClss/l2vaTB6AZts/s72-c/pic+1.jpg)
Wakwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Bw, Sunil Colaso akifuatiwa na Meneja Masoko wa Airtel bi, Prisca Tembo ,na Mwenyekiti wa shirikisho la wadau wa Utalii Tanzania Bwana Gaudence Temu , wakionyesha vifurushi vya bidhaa mpya ya Airtel Tourist Pack , wakati wa uzinduzi wa kifurushi hicho kitakacho wawezesha watalii kuwasiliana na familia zao mara wawapo nchi katika utalii, uzinduzi hu umefanyika leo katika makao makuu ya Airtel Daressalaam
Mkurgenzi mtendaji wa Airtel...
Michuzi