Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vilio vya unafiki msibani

Msiba au ‘msibani’ ni mahali na ‘kifo’ kimetokea au mahali na pameamuliwa pawe ni ‘makazi’ maalumu ya kukusanyika wanandugu, majirani, marafiki na waombolezaji kwa ajili ya kushughulikia, kujadiliana na kufanya maandalizi ya mazishi ya ‘marehemu-mhusika’. Ni mahali palipozingirwa na majonzi, hofu, utata na msononeko wa kila hali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

VILIO VYATAWALA VIFO VYA PADRI WANAFUNZI SITA

Na Mwandishi Wetu, Ruvuma
VILIO na simanzi vilitawala  mazishi ya Padri Hyasint Kawonga na baadhi ya  wanafunzi walioteketea kwa moto wilayani Mbinga mkoani Ruvuma baada ya ajali ya gari iliyotokea hivi karibuni. Padri Hyasint Kawonga. “Ni msiba uliokusanya mamia ya waumini wa madhehebu mbalimbali ya dini wilayani hapa, inauma sana.”
Hayo yalisemwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbinga, John...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA SIKONGE KWA KUHUZUNISHWA NA VILIO VYA DHULMA WANAZOFANYIWA WAKULIMA WA TUMBAKU

Kinana akisoma vijiji vitavyopata umeme wilayani Sikonge mwaka huu wa fedha.  Katibu Mkuu  wa CCM, Kinana akihutubia katika mkutano huo leo Mei 15, 2014, ambapo akijibu Malalamiko ya Wananchi wa Kata ya Kitunda, alielezea kusikishwa kwake na kitendo cha vyama vya ushirika kudaiwa kuwadhulumu bila huruma wakulima wa tumbaku wa Kata hiyo, huku akionyesha kushangazwa kwake na hatua ya  waziri mwenye dhamana na kilimo, Chakula na Ushirika kutotembelea wakulima kusikiliza kero zao na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Snura:Sitaki Unafiki

MWIGIZAJI wa filamu na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi ‘Mama wa Majanga’ amesema kuwa anakerwa sana na unafiki unaofanywa na baadhi ya wasanii kwa kushirikiana na wapenzi wa kazi zao kwa kufanya kampeni za kuangushana katika medani za kimataifa.

“Naepukana na unafiki tena naweza kusema roho mbaya chuki kwa baadhi ya wasanii kuunda makundi ambayo yantumia muda mwingi kuwadisi wengine, mfano hivi sasa wakati Diamond anagombea Tuzo kimataifa eti kuna watu wanaungana na watu...

 

11 years ago

Mwananchi

Mrema: Kura ya siri ni unafiki

>Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema amesema watu wanaotaka kura ya siri bungeni ni wanafiki huku Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wassira akiahidi kuonyesha wazi msimamo wake na kwamba ukiathiri ustawi wa taifa anataka aadhibiwe angali hai au mfu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uongo, unafiki na uzandiki wa CCM

INASIKITISHA kuona kwamba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamekuwa mstari wa mbele kuwadanganya wananchi kwamba uendeshaji wa serikali tatu ni ghali kuliko serikali mbili,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Unafiki wa wanasiasa ni tatizo jingine nchini

MWANZONI mwa miaka ya sitini aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanzania na Baba wa Taifa letu, hayati Mwalimu Julius Nyerere, alitaja mambo matatu kuwa ni adui wa maendeleo. Aliwataja maadui...

 

11 years ago

GPL

WEMA AMLIPUA KAJALA, KISA UNAFIKI!

Shakoor jongo na MUSA MATEJA BEAUTIFUL Onyinye, Wema Isaac Sepetu (25), amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki.
Habari hiyo ya kuitwa mnafiki iliandikwa kwenye gazeti hili toleo lililopita iliyokuwa na kichwa kisemacho; ‘Kajala: Wema mnafiki’. Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu (25) Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Akataa Unafiki, Ampongeza Diamond

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu amefunguka kwa mara ya kwanza na kusema kuwa hata yeye anampa pongezi mpenzi wake wa zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa jitihada alizozifanya mpaka kufikia hatua ya kumaliza nyumba yake iliyopo Madale jijini Dar.

Akizungumza na gazeti la Ijumaa, Wema alisema kuwa hata kama hawako pamoja lakini kama kuna kitu cha kumsifia kwa jambo zuri alilofanya hana sababu ya kukaa kimya na akinyamaza atakuwa mnafiki.

“Nikikaa kimya bila ya kumpongeza Chibu...

 

10 years ago

GPL

WEMA AKATAA UNAFIKI, AMPONGEZA CHIBU

Imelda Mtema
Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu amefunguka kwa mara ya kwanza na kusema kuwa hata yeye anampa pongezi mpenzi wake wa zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa jitihada alizozifanya mpaka kufikia hatua ya kumaliza nyumba yake iliyopo Madale jijini Dar. Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu. Akizungumza na gazeti hili juzi, Wema alisema kuwa hata kama hawako pamoja lakini kama kuna kitu cha kumsifia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani