VILIO VYATAWALA VIFO VYA PADRI WANAFUNZI SITA
![](http://api.ning.com:80/files/tei6Zvghx22fG3cXB*ZbymlmGitetRHnt6nhWZua62TNkuf19zchxWgvx4qw9YRabOHn7k25Ye9uHQnwnB45-hvLY4GB6sbF/Padri.jpg)
Na Mwandishi Wetu, Ruvuma VILIO na simanzi vilitawala mazishi ya Padri Hyasint Kawonga na baadhi ya wanafunzi walioteketea kwa moto wilayani Mbinga mkoani Ruvuma baada ya ajali ya gari iliyotokea hivi karibuni. Padri Hyasint Kawonga. “Ni msiba uliokusanya mamia ya waumini wa madhehebu mbalimbali ya dini wilayani hapa, inauma sana.†Hayo yalisemwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbinga, John...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/at5DaH0Gs6mkNcIQw0RNT7Jy7c6qaLMy5nrUZo*Ebt-3vBad2IyG7E5O5LqcAfcus2QHjVNlpl9MldcXFfClyzcELB3gioMX/2.jpg?width=650)
MAISHA PLUS: VILIO VYATAWALA
10 years ago
Mtanzania11 Feb
Simanzi, vilio vyatawala Dar
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
SIMANZI na vilio vimetawala jana eneo la Kipunguni Ukonga jijini Dar es Salaam nyumbani kwa mhandisi mstaafu wa ndege, marehemu Luteni David Mpira (68), ambaye alifariki pamoja na familia yake ya watu watano baada ya nyumba yao kuungua na moto usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita.
Mpira ambaye enzi za uhai wake alikuwa mwanajeshi, alikutwa na umauti huo saa tisa usiku pamoja na mke wake Celina Mpira (62), mtoto wake Lucas Mpira (37), shemeji yake Samuel Yegera...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZahK2JNbKSs2BbDBZcpjKjrnV-YFPCJb*H0*TzYumTlLNHRsSmpsKXrmxkdCFOhxlejoOuhVaK*e0ua8q7MlCZHphB-OJKO1/mtikila.jpg?width=650)
VILIO VYATAWALA NYUMBANI KWA MTIKILA!
10 years ago
Habarileo04 Jun
Vilio vyatawala bungeni kifo cha Mwaiposa
WABUNGE jana walikuwa na wakati mgumu kuzuia machozi kutiririka katika nyuso zao wakati jeneza lililobeba mwili wa Mbunge wa Jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam, Eugen Mwaiposa lilipokuwa likiingia katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya mazishi.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LAl787uzrCBTFox9-0czM1zS1hyoWfO5yjG5el9bK1uxxnc96lW7VIjNuXG0YJWfk1GqbewwZ-dmYCEp7eo35FnOpF68NKb1/KUAMBIANAMUIMBILI5.jpg)
MWILI WA KUAMBIANA WAHIFADHIWA MUHIMBILI, VILIO VYATAWALA!
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Zomeazomea, vilio vyatawala kesi ya mtoto wa boksi
11 years ago
Mwananchi09 Jun
Vilio vyatawala wodini kwa binti Yusta
11 years ago
GPLMWILI WA GEORGE TYSON WAWASILI KAIRUKI, VILIO VYATAWALA
10 years ago
Mtanzania04 Mar
Safari ya mwisho ya Komba *Vilio vyatawala, Rais Muluzi amlilia
Francis Godwin na Amon Mtega, Nyasa
Wakati vilio na simanzi vikitawala muda wote msibani hapo, Rais mstaafu wa Malawi, Dk. Bakili Muluzi, ametuma salamu za rambirambi kwa wanafamilia na wananchi wa Mbinga Magharibi kutokana na msiba wa mbunge huyo.
Akitoa mahubiri katika ibada ya mazishi, Askofu wa Jimbo la...