VILIO VYATAWALA NYUMBANI KWA MTIKILA!
![](http://api.ning.com:80/files/ZahK2JNbKSs2BbDBZcpjKjrnV-YFPCJb*H0*TzYumTlLNHRsSmpsKXrmxkdCFOhxlejoOuhVaK*e0ua8q7MlCZHphB-OJKO1/mtikila.jpg?width=650)
Haruni Sanchawa SIMANZI, vilio na huzuni vimetawala nyumbani kwa Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila mara tu baada ya familia yake kupokea taarifa za kifo chake kilichotokea usiku wa kuamkia jana katika Kijiji cha Msolwa, Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani baada ya gari waliyokuwa wakisafiria aina ya Toyota GX 100 kupata ajali. Mke wa Mtikila akilia kwa uchungu. Taarifa za ajali hiyo...
GPL