Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Safari ya mwisho ya Komba *Vilio vyatawala, Rais Muluzi amlilia

Francis Godwin na Amon Mtega, Nyasa

RAIS Jakaya Kikwete ameongoza Watanzania katika mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba yaliyofanyika jana kijijini kwao Lituhi, Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma.

Wakati vilio na simanzi vikitawala muda wote msibani hapo, Rais mstaafu wa Malawi, Dk. Bakili Muluzi, ametuma salamu za rambirambi kwa wanafamilia na wananchi wa Mbinga Magharibi kutokana na msiba wa mbunge huyo.

Akitoa mahubiri katika ibada ya mazishi, Askofu wa Jimbo la...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAISHA PLUS: VILIO VYATAWALA

Washiriki wa Maisha plus 'Rekebisha' wakifuatilia mchujo. Washiriki wa kiume wa Maisha Plus 'Rekebisha' wakisubiri kuitwa katika mchujo. Washiriki wa Maisha Plus…

 

10 years ago

Mtanzania

Simanzi, vilio vyatawala Dar

DSC_0691

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
SIMANZI na vilio vimetawala jana eneo la Kipunguni Ukonga jijini Dar es Salaam nyumbani kwa mhandisi mstaafu wa ndege, marehemu Luteni David Mpira (68), ambaye alifariki pamoja na familia yake ya watu watano baada ya nyumba yao kuungua na moto usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita.
Mpira ambaye enzi za uhai wake alikuwa mwanajeshi, alikutwa na umauti huo saa tisa usiku pamoja na mke wake Celina Mpira (62), mtoto wake Lucas Mpira (37), shemeji yake Samuel Yegera...

 

9 years ago

GPL

VILIO VYATAWALA NYUMBANI KWA MTIKILA!

Haruni Sanchawa
SIMANZI, vilio na huzuni vimetawala nyumbani kwa Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila mara tu baada ya familia yake kupokea taarifa za kifo chake kilichotokea usiku wa kuamkia jana katika Kijiji cha Msolwa, Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani baada ya gari waliyokuwa wakisafiria aina ya Toyota GX 100 kupata ajali. Mke wa Mtikila akilia kwa uchungu. Taarifa za ajali hiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Zomeazomea, vilio vyatawala kesi ya mtoto wa boksi

Umati wa watu, wengi wao wakiwa wanawake jana ulifurika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, kufuatilia kesi ya kula njama na kumfanyia vitendo vya ukatili mtoto Nasra Rashid (4) wakati wa uhai wake inayowakabili watu watatu.

 

11 years ago

Mwananchi

Vilio vyatawala wodini kwa binti Yusta

Kelele za vilio jana zilisimamisha kwa muda shughuli katika Wodi ya Wanawake ya Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam baada ya mama mzazi wa msichana, Yusta Lucas (20) anayedaiwa kuteswa kwa kung’atwa na kuchomwa kwa pasi mwili mzima kumwona mwanawe kwa mara ya kwanza.

 

11 years ago

GPL

MWILI WA KUAMBIANA WAHIFADHIWA MUHIMBILI, VILIO VYATAWALA!

Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuhifadhiwa leo mchana. Rais wa Bongo Movies, Steve Nyerere akiwa analia nje ya chumba cha maiti…

 

10 years ago

Habarileo

Vilio vyatawala bungeni kifo cha Mwaiposa

Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Ukonga, Eugen Mwaiposa ukiwasili kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma kwa ajili ya kuagwa jana. (Picha na Mohamed Mambo).WABUNGE jana walikuwa na wakati mgumu kuzuia machozi kutiririka katika nyuso zao wakati jeneza lililobeba mwili wa Mbunge wa Jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam, Eugen Mwaiposa lilipokuwa likiingia katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya mazishi.

 

11 years ago

GPL

MWILI WA GEORGE TYSON WAWASILI KAIRUKI, VILIO VYATAWALA

Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa George Tyson kuupeleka mochwari. Jeneza lenye mwili wa George Tyson likiingizwa mochwari katika Hospitali ya Kairuki, Mikocheni jijini Dar.…

 

10 years ago

GPL

VILIO VYATAWALA VIFO VYA PADRI WANAFUNZI SITA

Na Mwandishi Wetu, Ruvuma
VILIO na simanzi vilitawala  mazishi ya Padri Hyasint Kawonga na baadhi ya  wanafunzi walioteketea kwa moto wilayani Mbinga mkoani Ruvuma baada ya ajali ya gari iliyotokea hivi karibuni. Padri Hyasint Kawonga. “Ni msiba uliokusanya mamia ya waumini wa madhehebu mbalimbali ya dini wilayani hapa, inauma sana.”
Hayo yalisemwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbinga, John...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani