Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIGOGO ATOROSHA MTOTO, AMLAWITI

Stori: Denis Mtima, Pwani
INASIKITISHA sana! Wakati watetezi wa haki za binadamu wakizidi kupiga vita matukio ya unyanyasaji wa watoto na wanawake, kigogo mmoja aliyetajwa kwa jina la Moses anadaiwa kumlawiti mtoto, Rose (16) na kumtorosha mwingine aitwaye Diana (12) ambaye ni denti wa darasa la nne. Mtoto Rose (kushoto) aliyelawitiwa, na mwenzake Diana aliyetoroshwa na kigogo mmoja aliyetajwa kwa jina la Moses. Kigogo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MUME ATOROSHA MTOTO WA KAMBO

Stori: Haruni Sanchawa
MTU mmoja aliyetambulika kwa jina la Abdikadiri Opapa  anasakwa  na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Temeke baada ya kumtorosha mtoto wa kambo na kumtishia maisha mke wake. Abdikadiri Opapa akiwa na Machunda Thomas. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni baada ya wanandoa hao kuhitilafiana na mwanaume huyo kumuiba mtoto wa kambo aitwaye Machunda Thomas (11),  aliyemkuta kwa mkewe huyo na kwenda...

 

9 years ago

Mwananchi

Kigogo wa CCM adaiwa kumnajisi mtoto wake

Kigogo mmoja wa CCM wilayani Rombo anadaiwa kumnajisi mtoto wake mwenye umri wa mwaka mmoja.

 

10 years ago

GPL

MADAI MAZITO: MCHUNGAJI ATOROSHA MKE WA MTU!

Na Mwandishi Wetu
MCHUNGAJI anayejiita nabii na mtume, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) aliyetajwa kwa jina moja la Emmanuel amejikuta ndani ya majanga kufuatia madai mazito kwamba amemtorosha mke wa mtu ambaye ni mwimbaji wa Nyimbo za Injili Bongo anayekuja juu kwa kasi, Janet Mrema. Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Bongo anayekuja juu kwa kasi, Janet Mrema anayedaiwa kutoroshwa na mchungaji huyo. Kwa mujibu wa...

 

10 years ago

GPL

KIGOGO WA WEMA KORTINI

Haruni Sanchawa Makongoro Oging’
Jamaa aliyewahi kudaiwa kuwa karibu na mwigizaji Wema Sepetu anayejulikana kwa jina la Clement Mwankayi Kiondo ‘CK’ au Kigogo wa Wema na mwenzake, Emmanuel Kagondela wamepandishwa kortini kwa mashitaka mawili ya kughushi hundi kisha kuchota fedha. Clement Mwankayi Kiondo ‘CK’ akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi. Wawili hao walipandishwa kizimbani juzi...

 

11 years ago

GPL

KIGOGO WA WEMA NOMA!

Stori: Imelda Mtema
NOMA sana! Baada ya kupigwa cha mbavu (kuachwa) na Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu huku akimnyang’anya vitu vyote vya ofisini, yule kigogo wa ikulu, Clement a.k.a CK, hivi sasa anadaiwa kutoka na shosti wa staa huyo, Naima Shaa. Naima Shaa. Kwa mujibu wa chanzo makini cha gazeti namba moja la burudani Bongo, Ijumaa Wikienda, Naima anatamba na kuwapiga vijembe wasichana wa mjini kuwa anatoka na...

 

11 years ago

GPL

KIGOGO MZITO SHOGA!

Stori: Mwandishi wetu WAKATI masuala ya ushoga yakipingwa kwa nguvu zote hapa nchini, skendo ya aina yake imeikumba serikali baada ya siri kuvuja kuwa mmoja wa viongozi kumi wa juu nchini ni shoga. Taric Jumbe akitoa ushuhuda jinsi alivyofanya mapenzi na kigogo huyo. Habari hizo za kushtua na kufedhehesha taifa ambazo zimefanyiwa kazi na dawati la Ijumaa kwa kushirikiana na kitengo cha OFM cha Global, zilitua hivi karibuni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kigogo CCM auawa

MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mwanza, Clement Mabina, ameuawa kinyama na wananchi wenye hasira baada ya kumuua kwa risasi mtoto mdogo anayekadiriwa kuwa na miaka...

 

9 years ago

Global Publishers

Picha za x zatikisa ndoa ya kigogo!

IMG-20151126-WA0015

Aibu ilioje! Picha chafu za ngono ‘X’ za mrembo aliyetajwa kwa jina moja la Mariam, mkazi wa Kinondoni jijini Dar, zinadaiwa kuitikisha ndoa ya kigogo wa sekta nyeti ya fedha baada ya kunaswa kwenye simu yake na mkewe aliyetambulika kwa jina moja la Aneth, wote wakazi wa jijini Arusha.

Kwa mujibu wa Aneth, picha hizo zimeacha mpasuko mkubwa kwenye ndoa yao kwa kuwa mara nyingi amekuwa akimhisi mumewe kutokuwa mwaminifu huku safari za Dar zikiwa hazikauki.

Alisema kuwa, amekuwa akifuma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani