Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BABA AMUUA MTOTO KWA CHUPA YA BIA

Stori: Imelda mtema
Masikini wa Mungu! Baba aliyetajwa jina moja la Shaban (25), mkazi wa Kimara-Suka, Dar anadaiwa kuhusika katika mauaji ya mtoto wake asiye na hatia, Salma Shaban (miezi sita) kwa kumpiga na chupa ya bia kichwani na kusababisha mshipa mkubwa wa damu kukatika kichwani. Akilisimulia Risasi Jumamosi mkasa huo wa kuumiza moyo, mama mzazi wa mtoto huyo, Matlida Amon alieleza kuwa tukio hilo lilijiri maeneo hayo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Baba amuua mwanaye kwa adhabu kali

Simanzi, vilio na majonzi vilitawala Kijiji cha Misiri, Kata ya Bugarama, wilayani Geita, kutokana na tukio la kifo cha mtoto, John Wiliam (4) aliyefariki baada ya kupewa adhabu na baba yake mzazi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto wa miaka mitatu amuua mdogo wake kwa risasi

Payson Ariz, mtoto wa kiume wa miaka mitatu amemuua mdogo wake wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu kwa kumpiga risasi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Baba amuua mwanawe wa kike Pakistan

Mwanamke amepigwa mawe na familia yake wakiwemo babake na ndugu zake wa kiume hadi kufariki kwa kuolewa na mtu wasiomkubali

 

5 years ago

CCM Blog

MTOTO WA MIAKA 17 MIKONONI MWA POLISI KWA KWA TUHUMA ZA KUMUUA BABA YAKE

 Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia mtoto wa miaka 17 kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa  Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, alidai kuwa Mei 31, saa 12 alfajiri Kitongoji cha Manyani, Kata ya Mkalama wilayani Gairo, mtu aliyejulikana kwa jina la Issaya Lameck (41), maarufu kama Kusaganika, fundi Muwashi, aliuawa kwa kupigwa na mtoto wake mwenye miaka 17 (jina linahifadhiwa kwa sababu za kimaadili).
Kamanda Mutafungwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baba aua mtoto kwa fimbo

WATU watatu wamefariki dunia katika matukio tofauti mkoani hapa likiwemo la mtoto Irene Mbembela (7), mkazi wa Sogea-Tunduma, wilayani Momba, kuuawa kwa kupigwa fimbo na baba yake mzazi. Irene ambaye...

 

11 years ago

Mwananchi

Baba aua mtoto kwa makonde

Watoto wawili wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti likiwamo la mtoto wa miaka mitatu aliyepoteza maisha baada ya baba yake kumchakaza kwa makonde.

 

11 years ago

Bongo5

Video: Mama amtuma mtoto kwa baba yake kwa kumfunga kama kifurushi (parcel)

Hiki ni kisa kilichotokea nchini Kenya na kuripotiwa na NTV, ambapo mwanamke mmoja ambaye ni mama ameamua kumfunga mwanaye kama mzigo na kumtuma kwa baba yake kwa njia ya kifurushi. Mtoto huyo wa kiume ana umri wa wiki tatu. Wafanyakazi wa kampuni ya G4S ambapo anayedaiwa kuwa baba wa mtoto huyo nafanya kazi, wamesema walikuta […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Amuua mtoto wa kambo, ajiua

MWANAKIJIJI wa Mbuye, wilayani Chato, mkoani Geita, Alone Said (25), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kambo, Angelina Dickson, wa mwaka mmoja na miezi minane kwa...

 

10 years ago

GPL

BABA APIGWA PINGU KWA KUMTESA MTOTO

Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
Hekaheka! Baba mkubwa aliyetajwa kwa jina la Mohamed Said a.k.a Muddy, mkazi wa Tegeta-Msufini jijini Dar amepigwa pingu akituhumiwa kumfanyia ukatili wa kutisha wa kumsulubu mtoto wa kiume wa mdogo wake, mwenye umri wa miaka sita (jina linahifadhiwa). Baba mkubwa aliyetajwa kwa jina la Mohamed Said a.k.a Muddy akiwa amepigwa pingu kwa madai ya kumtesa mtoto wa mdogo wake. Tukio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani