Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BABA APIGWA PINGU KWA KUMTESA MTOTO

Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
Hekaheka! Baba mkubwa aliyetajwa kwa jina la Mohamed Said a.k.a Muddy, mkazi wa Tegeta-Msufini jijini Dar amepigwa pingu akituhumiwa kumfanyia ukatili wa kutisha wa kumsulubu mtoto wa kiume wa mdogo wake, mwenye umri wa miaka sita (jina linahifadhiwa). Baba mkubwa aliyetajwa kwa jina la Mohamed Said a.k.a Muddy akiwa amepigwa pingu kwa madai ya kumtesa mtoto wa mdogo wake. Tukio...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MCHEZAJI YANGA APIGWA PINGU...

Mshambuliaji wa Yanga, Shabani Kondo (kulia) akiwa ndani ya pingu. Na Sweetbert Lukonge
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Shabani Kondo, alionja joto ya jiwe jana baada ya kumkunja ofisa wa jeshi la polisi katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kisha kupelekwa kituo cha polisi. Kondo alikumbana na mkasa huo kufuatia kutaka kupigana na askari baada ya mchezo dhidi ya Mbeya City ambao uliishuhudia Yanga ikivunja rekodi ya Mbeya kwa...

 

11 years ago

GPL

AZALIA KWENYE NDOO, APIGWA PINGU!

Na Imelda Mtema
MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Hadija Mohammed, mkazi wa Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam amekumbana na mkono wa sheria baada ya kufanya kitendo cha kinyama kufuatia kujifungulia kwenye ndoo kisha kichanga kukitupa chooni. Hadija Mohammed, anayetuhumia kukitupa kichanga baada ya kuzaliwa. Kwa mujibu wa chanzo, mwanamke huyo alikuwa na ujauzito uliotimiza miezi tisa na kila mtu alikuwa akiuona,...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO APIGWA PINGU DOM, ASAFIRISHWA DAR

Shani Ramadhani
TOO much! Kufuatia skendo ya utapeli inayoendelea kumwandama mwimbaji wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando anadaiwa kupigwa pingu mkoani Dodoma, baadaye akasafirishwa hadi Dar kwa msimamizi wa kazi zake, Alex Msama, kwa lengo la kumlipia deni alilokuwa akidaiwa, Ijumaa Wikienda lina kisa chote. Mwimbaji wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando. Habari kutoka kwa chanzo zimeeleza kwamba, hivi karibuni, Rose...

 

10 years ago

BBCSwahili

Yaya akiri kumtesa mtoto UG

Jolly Tumuhirwe alikiri mbele ya mahakama nchini Uganda kwamba alimtesa mtoto mdogo lakini akamuomba jaji kumsamehe

 

5 years ago

CCM Blog

MTOTO WA MIAKA 17 MIKONONI MWA POLISI KWA KWA TUHUMA ZA KUMUUA BABA YAKE

 Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia mtoto wa miaka 17 kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa  Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, alidai kuwa Mei 31, saa 12 alfajiri Kitongoji cha Manyani, Kata ya Mkalama wilayani Gairo, mtu aliyejulikana kwa jina la Issaya Lameck (41), maarufu kama Kusaganika, fundi Muwashi, aliuawa kwa kupigwa na mtoto wake mwenye miaka 17 (jina linahifadhiwa kwa sababu za kimaadili).
Kamanda Mutafungwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baba aua mtoto kwa fimbo

WATU watatu wamefariki dunia katika matukio tofauti mkoani hapa likiwemo la mtoto Irene Mbembela (7), mkazi wa Sogea-Tunduma, wilayani Momba, kuuawa kwa kupigwa fimbo na baba yake mzazi. Irene ambaye...

 

11 years ago

Mwananchi

Baba aua mtoto kwa makonde

Watoto wawili wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti likiwamo la mtoto wa miaka mitatu aliyepoteza maisha baada ya baba yake kumchakaza kwa makonde.

 

11 years ago

Bongo5

Video: Mama amtuma mtoto kwa baba yake kwa kumfunga kama kifurushi (parcel)

Hiki ni kisa kilichotokea nchini Kenya na kuripotiwa na NTV, ambapo mwanamke mmoja ambaye ni mama ameamua kumfunga mwanaye kama mzigo na kumtuma kwa baba yake kwa njia ya kifurushi. Mtoto huyo wa kiume ana umri wa wiki tatu. Wafanyakazi wa kampuni ya G4S ambapo anayedaiwa kuwa baba wa mtoto huyo nafanya kazi, wamesema walikuta […]

 

11 years ago

Mwananchi

Baba adaiwa kumuua mtoto kwa kipigo

Mtoto mwenye umri wa miaka sita ameuawa kikatili, baada ya kudaiwa kupigwa na baba yake kwa fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani