Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ubani wa kutafuna wamtia matatani mtoto

Kituo kimoja cha televisheni KHQ-TV kimeripoti kwamba mtoto huyo mvulana alifikishwa mahakamani kwa kuiba paketi ya gamu/bigiji/chingamu/ au ubani wa kutafuna .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kutafuna ubani ni haramu, wapi huko ?

Muanzilishi wa Singapore Lee Kuan Yew,aliyeaga dunia jumatatu aliharamisha utafunaji wa ubani

 

10 years ago

BBCSwahili

Ushabiki wa soka wamtia matatani mwanamke

Mchezaji na shabiki sugu wa soka mwanamke nchini Saudi Arabia, amejipata mashakani baada ya kuingia katika uwanja uliokuwa na mashabiki wanaume.

 

11 years ago

CloudsFM

Kijana amuua mtoto wa miaka 9 na ‘kutafuna ubongo’

Moshi. Mkazi mmoja wa Moshi amemuua mwanafunzi wa darasa la 3 kule Samanga leo na kisha 'kula ubongo' wa mtoto huyo katika tukio la kutisha lililostua wakazi wa mji huu.

Kijana huyu aliyefahamika kwa jina la Lawrence Mramba, 20, alimshambulia mtoto huyo mwenye umri wa miaka 9 kwa panga wakati akienda shule mnamo saa 1 asubuhi Ijumaa, akampasua kichwa na kisha akaanza kutafuna ‘vipande vya ubongo wake.’

Mara baada ya kitendo hicho cha kushtusha, Mramba, aliyeonekana kuwa na matatizo ya...

 

11 years ago

Mwananchi

YATISHA: Kijana afyatuka, amuua mtoto wa miaka 9 na ‘kutafuna ubongo’

Mkazi mmoja wa Moshi amemuua mwanafunzi wa darasa la 3 kule Samanga leo na kisha kula ubongo wa mtoto huyo katika tukio la kutisha lililostua wakazi wa mjii huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Friends of Simba watia ubani

Kundi la wanachama matajiri wa klabu ya Simba, Friends of Simba limevamia mazoezi ya klabu hiyo na kutia ubani maandalizi ya kuikabili Azam kesho.

 

11 years ago

Mwananchi

Sumry yatoa ubani wa Sh 5.5M ajali Singida

Uongozi wa Kampuni ya Mabasi ya Sumry ya Sumbawanga, Rukwa umetoa ubani wa Sh5.5 milioni kwa familia za ndugu na jamaa waliofariki dunia kutokana na ajali ya moja ya mabasi yake iliyotokea Aprili 28 katika Kijiji cha Utaho, Wilaya ya Ikungi, Singida.

 

10 years ago

Mtanzania

Dk.Slaa asaka ubani wa urais Ulaya

DK-SLAANA MWANDISHI WETU, DAR
WAKATI vuguvugu la kusaka mgombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) likishika kasi, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa, ameondoka kwenda barani Ulaya kusaka ubani wa urais kwa muda wa siku nane.
Dk. Slaa ambaye amekuwa akitajwa kuwa anaweza kuteuliwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kugombea urais Oktoba mwaka huu kutokana na rekodi yake, anafanya ziara hii ikiwa ni ya pili baada ya ziara ndefu aliyoifanya hivi karibu nchini Marekani.
Taarifa...

 

9 years ago

Global Publishers

Jini kabula amwanika wa ubani wake

Miriam-Jolwa-Jini-Kabula1Msanii wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’.

NA gladness mallya
MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ hivi karibuni alimwanika mpenzi wake kwenye mtandao wa kijamii wa WhatsApp na kuambatanisha na maneno ya kimahaba.

Jini Kabula aliweka picha ya mpenzi wake huyo ambaye hakutaka kumtaja jina huku akiambatanisha na maneno ya kimahaba na alipoulizwa kuhusu suala la ndoa alisema halipo bali ni marafiki tu.

kabula“Huyu ni rafiki yangu sana na niliweka picha tukiwa pamoja kwenye...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ulevi wamtia mashakani Phelps

Muogeleaji bingwa wa Olimpiki nchini Marekani,Michael Phelps, amekamatwa kwa kundesha gari akiwa mlevi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani