Sumry yatoa ubani wa Sh 5.5M ajali Singida
Uongozi wa Kampuni ya Mabasi ya Sumry ya Sumbawanga, Rukwa umetoa ubani wa Sh5.5 milioni kwa familia za ndugu na jamaa waliofariki dunia kutokana na ajali ya moja ya mabasi yake iliyotokea Aprili 28 katika Kijiji cha Utaho, Wilaya ya Ikungi, Singida.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 May
Eneo la ajali ya Sumry Singida limeshaua 50
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
GLOBAL NEWS: AJALI MBAYA YA BASI LA SUMRY ILIYOPOTEZA MAISHA YA WATANZANIA MKOANI SINGIDA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6LjPLZ8wv3cUdI0ytZtKjnGKlPJilJINpl3ZCfTDcnhzhgejDg4z1xN09zF2U8at0wHtqrzAY-S4TWiL0dT6k3pW7WADJjnp/freemason.jpg?width=650)
FREEMASON NYUMA YA AJALI YA BASI LA SUMRY
11 years ago
Michuzi30 Apr
BASI LA SUMRY LAUA WATU 1( WAKATI WAKISITIRI MAITI ILIYOGONGWA NA GARI SINGIDA.
![](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/zSaPxWsKXfQnP_rz2cFLYndr134Dze4FNZsmYL6Nv3mndXZwS2NMYLv-SGEDJlBvl9NhHS1U3ryBQX_DQ5mFQVw7dmr7Uu6UlPDX4137x1YabIcpC82RJQ=s0-d-e1-ft#http://www.habarileo.co.tz/images/resized/images/sumry_300_183.jpg)
WATU 19 wakiwemo askari Polisi wanne wamepota maisha katika ajali ya barabarani, wakati basi linalomilikiwa na Kampuni ya Sumry, lilipopamia watu hao wakati wakimsitiri mtembea kwa miguu, aliyekufa kwa kugongwa na gari lisilofahamika. Ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamkia jana katika Kijiji cha Utaho, kilometa 20 nje ya Mji wa Singida katika Barabara Kuu ya Singida Dodoma.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishina Msaidizi Mwandamizi, Geofrey Kamwela, alisema jana kuwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q0SlC7VLXZ5CCeKTFaQFkfZutVRZr2nYI89fIipNvFnY1LYt50wKU18TSAUaOnepfOMS4Pw0idZ141adIpmA1ru/ajali3.jpg?width=650)
AJALI YA BASI LA SUMRY ILIYOUA WATU 19 WAKIWEMO ASKARI WANNE WA JESHI LA POLISI
5 years ago
CCM BlogSINGIDA YAADHIMISHA MIAKA 43 YA CCM KWA KISHINDO, YATOA MSIMAMO ENEO LINASTAHILI KUJENGWA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA SINGIDA VIJIJINI
Na Godwin Myovela, Singida
Baada ya mvutano mkubwa ambao umekuwepo baina ya madiwani, viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na viongozi wa Serikali kuhusu...
11 years ago
Tanzania Daima28 Jun
Ajali yaua watatu Singida
WATU watatu akiwemo Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Ngimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida, wamekufa na wengine 10 kujeruhiwa baada ya gari aina ya Noah waliyokuwa...
11 years ago
Habarileo01 May
Rais atuma rambirambi ajali ya Singida
RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Singida, Parseko Kone kutokana na vifo vya watu 19, wakiwemo polisi wanne na viongozi watatu wa Kijiji.
10 years ago
Dewji Blog01 Nov
135 wafa katika ajali Singida
Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka ,akitoa taarifa ya utendaji kazi mkoani Singida kwa kipindi cha kuanzia Januari hadi Septemba mwaka huu.
Baadhi ya waandishi wa habari na askari polisi waliohudhuria hafla ya kamanda wa polisi mkoa wa Singida kwa ajili ya kutoa taarifa ya utendaji kazi kwa kipindi cha miezi tisa.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
JUMLA ya ajali 89 za barabarani, zimetokea mkoani hapa na kusababisha vifo vya watu 135...