Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FREEMASON NYUMA YA AJALI YA BASI LA SUMRY

Stori: MWANDISHI WETU IMANI ya kuabudu inayotiliwa shaka duniani ya Freemason imetajwa kuwa nyuma ya pazia la ajali mbaya ya Basi la Sumry iliyotokea katika Kijiji cha Ulyampiti mkoani Singida mwanzoni mwa wiki iliyopita na kusababisha vifo vya watu 19, wakiwemo polisi wa usalama barabarani wanne. Basi la Sumry lililopata ajali mbaya iliyotokea katika Kijiji cha Ulyampiti mkoani Singida mwanzoni mwa wiki iliyopita. Habari za...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AJALI YA BASI LA SUMRY ILIYOUA WATU 19 WAKIWEMO ASKARI WANNE WA JESHI LA POLISI

Basi la kampuni ya Sumry lenye namba za usajili, T 799 BET lililouwa watu 18 mkoani Singida. Gari la polisi likiwa limepakia maiti zaidi ya kumi zikipelekwa hospitali ya mkoa wa Singida kwa ajili ya kuhifadhiwa na kutambuliwa.…

 

11 years ago

GPL

GLOBAL NEWS: AJALI MBAYA YA BASI LA SUMRY ILIYOPOTEZA MAISHA YA WATANZANIA MKOANI SINGIDA

AJALI mbaya ya basi la Sumry iliyopoteza roho za Watanzania huko mkoani Singida mwanzoni mwa wiki hii. Watu 19 mpaka sasa wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na ajali hiyo. Ungana na mtangazaji wako Joseph Shaluwa kutoka Global TV Online, kuona hali ilivyokuwa eneo la ajali…

 

11 years ago

Michuzi

BASI LA SUMRY LAUA WATU 1( WAKATI WAKISITIRI MAITI ILIYOGONGWA NA GARI SINGIDA.


WATU 19 wakiwemo askari Polisi wanne wamepota maisha katika ajali ya barabarani, wakati basi linalomilikiwa na Kampuni ya Sumry, lilipopamia watu hao wakati wakimsitiri mtembea kwa miguu, aliyekufa kwa kugongwa na gari lisilofahamika. Ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamkia jana katika Kijiji cha Utaho, kilometa 20 nje ya Mji wa Singida katika Barabara Kuu ya Singida Dodoma. 
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishina Msaidizi Mwandamizi, Geofrey Kamwela, alisema jana kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Eneo la ajali ya Sumry Singida limeshaua 50

Wakati miili 15 ya marehemu waliofariki dunia kwa kugongwa na basi katika Kijiji cha Utaho mkoani Singida ikizikwa juzi, imeelezwa kuwa eneo hilo limekithiri kwa ajali hadi kuwatisha wanakijiji.

 

11 years ago

Mwananchi

Sumry yatoa ubani wa Sh 5.5M ajali Singida

Uongozi wa Kampuni ya Mabasi ya Sumry ya Sumbawanga, Rukwa umetoa ubani wa Sh5.5 milioni kwa familia za ndugu na jamaa waliofariki dunia kutokana na ajali ya moja ya mabasi yake iliyotokea Aprili 28 katika Kijiji cha Utaho, Wilaya ya Ikungi, Singida.

 

11 years ago

Mwananchi

Sasa tuseme ajali za mabasi zimetosha ajali hizi basi

Kwa mara nyingine, nchi yetu imepata janga jingine kubwa baada ya ajali mbili kutokea katika mikoa ya Pwani na Kilimanjaro mwishoni mwa wiki iliyopita na kusababisha vifo kwa watu zaidi ya 30.

 

11 years ago

GPL

AJALI YA BASI BUNDA

 Toyota Coaster lenye namba za usajili T 399 BYC lililokuwa likitokea Musoma kwenda Bunda likiwa limepata ajali mchana huu eneo la Bitaraguru, Bunda mkoani Mara. Baadhi ya abiria walionusurika katika ajali wakisaidiwa kutoka kwenye basi hilo.…

 

10 years ago

Mtanzania

Ajali ya basi yaua 42 Iringa

WATU 42 wamefariki dunia na wengine 22 kujeruhiwa vibaya baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori lililokuwa limebeba mbao.
Ajali hiyo ilitokea jana asubuhi katika eneo la Changalawe, Mafinga mkoani Iringa.
Mmoja wa mashuhuda wa ajali hiyo aliiambia MTANZANIA kwamba basi hilo namba T438 CDE, mali ya Kampuni ya Majinjah Express lilikuwa likitoka Mbeya kwenda Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa shuhuda huyo basi hilo liligongana na lori hilo lililokuwa likitoka Iringa...

 

11 years ago

GPL

AJALI YA BASI YAUA 20 DODOMA

Basi la Moro Best baada ya ajali hiyo mbaya. TAKRIBANI watu 20 wanadaiwa kupoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya basi la Moro Best lililokuwa linatoka Mpwapwa kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na lori eneo la Pandambili, Kongwa mkoani Dodoma leo. Baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa katika Hospitali ya…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani